4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Tusichanganye dini na siasa[emoji2827]Wakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo
Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks
Ndugu yangu , Mungu akisema Ndio hakuna wa kupinga, Rais anapiga Magoti kwa watumishi wa Mungu , mwamba Mungu ampe maisha marefu sanaMwamba mpaka kuingia IKULU alipambana sana,alinyanyasika sana
Thanks kamanda , mwamba anatueshimisha AfrikaNami huyu ni my super president, Zambia inabadilika kimaendeleo, rushwa inapigwa vita sana, eneo linalonigusa hasa ni traffic officer's wao na check points zao, nyingi zimeondolewa na wameambiwa Waka patrol barabarani kuliko kuwa sehemu moja, na hii inaleta maana, kwetu hapa njoo jua,mvua,mchana, usiku, wale wa Ruaha mbuyuni utawakuta hata kama temperature ni -15C wapo tu
His excellence HH Zambian presidentWakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo
Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks
Sure ,the man of GodHis excellence HH Zambian president
Kwani tatizo lipo wapi?Naomba kabla sijachangia kitu, hiyo picha iweze kuhakikiwa na hawa ndugu zangu kwanza ili kuthibitisha kama ni ya kweli, au imeeditiwa!! adriz, FaizaFoxy, THE BIG SHOW, inamankusweke, Accumen Mo, na wengineo wengi!!
Nilitaka tu mjionee wenyewe nguvu ya Kanisa Katoliki duniani.Kwani tatizo lipo wapi?
Sasa hapo unasifia nini? Maana hata "fedhuli" alikuwa anapenda sana kujipendekeza madhabahuni. Hiki sio kipimo cha uongoziWakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo
Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks
Hamna kitu watafanya ni wasiwasi wako tu.Nilitaka tu mjionee wenyewe nguvu ya Kanisa Katoliki duniani.
Yupo Msoga anakuja soonAsiyetambua nguvu ya kanisa na atoke mbelee!!!!!
Nipe picha ya Rais wa Tanzania tangu mwalim Nyerere kupiga goti kwa watumishi wa Mungu, Mwamba anajua kipi alikua anakipigania kwa WAZAMBIA na anakionesha kwa vitendoSasa hapo unasifia nini? Maana hata "fedhuli" alikuwa anapenda sana kujipendekeza madhabahuni. Hiki sio kipimo cha uongozi
Ccm na machawa wao wakiona hii tumekwisha ,naomba ificheni, utashangaa mama jpili na Tulia kanisani au Msikitini
Ndugu yangu ,Mshana Jr upo mkuuCcm na machawa wao wakiona hii tumekwisha ,naomba ificheni, utashangaa mama jpili na Tulia kanisani au Msikitini
Nimecheka kifala sana mkuuNgoja Waje Tende Na Sharubati Watoe Hoja Iliyopo Mbele Yetu
Kivumbi Na Jasho