Among vitu vinavyotunisha account ya diamond ni mikataba minono anayoingia na Diamond...the lowest mkataba huwa analipwa si chini ya 300m tena for three months which are renewableHatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa(mkataba) yake na vodacom ndio sababu inayomfanya asishiriki fiesta.
Wadhamini wakuu wa fiesta ni Tigo.
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
sawa pita ungekuwa hujashupaa ningejitolea kukelimishatena ujue hamna kiaz kama ww tena kiaz kisichojiweza yan diamond ndo unamwita msaani kwa usanii gani alionao ww mbulula kweli kupaishwa na midia ndo usanii ww na huyo kiaz mwenzio mkajithafmin
Kwa mwandiko huu unahaki ya kusema chibu anapaishwa na mediatena ujue hamna kiaz kama ww tena kiaz kisichojiweza yan diamond ndo unamwita msaani kwa usanii gani alionao ww mbulula kweli kupaishwa na midia ndo usanii ww na huyo kiaz mwenzio mkajithafmin
Na washauri wazuri pia..Huenda akawa si miongoni mwa wasanii wachache walio kwenda shule haswa...ila ana akili sana huyu jamaa...
kama huwa unaangalia South africa Idols ambayo inadhaminiwa na Telcom huwezi kutaka picha kwenye ili.Leta picha cassper aki perform iyo show
Very mature....angekuwa mwingine angevunja contract ili auze sura fiesta.
na kusikiliza ushauri pia!Na washauri wazuri pia..
hakiii huyu mtoto aijui alilogwaaaaaaaWema juzi juzi katwaa bonge la diki na kampyni ya nywele za kusuka rasta
Siku ya presi akaenda kavaa wigi sijui la kampuni gani lingine...akatemwa live no
Wenye kujielewa hawakutaka ujingabola angeenda na nywele zake au angesuka rasta hata tano kuchwani kubwa...ndio kutojua kufikiri jina mtu utabembelezwa. Alipigwa chini chaliiiiii
Achana na bangi ya arusha...tumia ya njombe.Kama ww ulivyovunja mkataba na common sense ili umwage pumba
We Inzi alafu ndio hata uelewi...Fiesta ni Tamasha la Clouds Media na sio Tigo...Msanii akimwaga wino wote tunaona anasaini mikataba na Clouds Media na sio Tigo...Tigo wanatamasha yao wanayoandaa wenyewe kama lile lilolofanyika mwaka jana na wasanii wakala mpunga mrefu au yale matamasha yao ya bure kule Coco beach na mwembe Yanga temeke tusichanganye habari...Diamond na uongozi wake waseme ukweli kwanini wanaikwepa Fiesta.Anafanya na kampuni zote ila kwenye mitandao ni voda tu na kwenye vinywaji ni coca cola tu, tena nje ndowana hizi tabia za kampuni moja tu na sio kuhama hama. Mf Ronaldo nike, Messi addidas ushawai kuona wamehama? Au kanye na addidas
Wanawaogopa timu kiba maana wale bange ndo chakula hukumbuki yaliyotokea kwny fiesta na tigo concert.....We Inzi alafu ndio hata uelewi...Fiesta ni Tamasha la Clouds Media na sio Tigo...Msanii akimwaga wino wote tunaona anasaini mikataba na Clouds Media na sio Tigo...Tigo wanatamasha yao wanayoandaa wenyewe kama lile lilolofanyika mwaka jana na wasanii wakala mpunga mrefu au yale matamasha yao ya bure kule Coco beach na mwembe Yanga temeke tusichanganye habari...Diamond na uongozi wake waseme ukweli kwanini wanaikwepa Fiesta.
Imempa 600MAnaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA
au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.
Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe
Vodacom inamlipaje huyu jamaa?
kwa mwezi au?Diamond alisign na Vodacom dili la shilingi Bilioni Moja,
Nadhani kwa mwaka mmoja,kwa mwezi au?
Anaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA
au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.
Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe
Vodacom inamlipaje huyu jamaa?