Hii ndo sababu inayomfanya Diamond asishiriki Fiesta 2016

Hii ndo sababu inayomfanya Diamond asishiriki Fiesta 2016

Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa(mkataba) yake na vodacom ndio sababu inayomfanya asishiriki fiesta.

Wadhamini wakuu wa fiesta ni Tigo.
Among vitu vinavyotunisha account ya diamond ni mikataba minono anayoingia na Diamond...the lowest mkataba huwa analipwa si chini ya 300m tena for three months which are renewable
 
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo

Kwani mkataba ni wa milele?
Na pesa ya vida unafikiri angepata hata robo fiesta?

Akili kichwani, uaminifu na sio kujaa tamaa ndio kujipaisha na kupewa contract zaidi.
 
Wema juzi juzi katwaa bonge la diki na kampyni ya nywele za kusuka rasta

Siku ya presi akaenda kavaa wigi sijui la kampuni gani lingine...akatemwa live no

Wenye kujielewa hawakutaka ujingabola angeenda na nywele zake au angesuka rasta hata tano kuchwani kubwa...ndio kutojua kufikiri jina mtu utabembelezwa. Alipigwa chini chaliiiiii
 
Tembo itabidi asishiriki kwenye show za mabati chapa simba....atakuwa kavunja mkataba na tembo wenzake
 
tena ujue hamna kiaz kama ww tena kiaz kisichojiweza yan diamond ndo unamwita msaani kwa usanii gani alionao ww mbulula kweli kupaishwa na midia ndo usanii ww na huyo kiaz mwenzio mkajithafmin
sawa pita ungekuwa hujashupaa ningejitolea kukelimisha
 
tena ujue hamna kiaz kama ww tena kiaz kisichojiweza yan diamond ndo unamwita msaani kwa usanii gani alionao ww mbulula kweli kupaishwa na midia ndo usanii ww na huyo kiaz mwenzio mkajithafmin
Kwa mwandiko huu unahaki ya kusema chibu anapaishwa na media
 
Wema juzi juzi katwaa bonge la diki na kampyni ya nywele za kusuka rasta

Siku ya presi akaenda kavaa wigi sijui la kampuni gani lingine...akatemwa live no

Wenye kujielewa hawakutaka ujingabola angeenda na nywele zake au angesuka rasta hata tano kuchwani kubwa...ndio kutojua kufikiri jina mtu utabembelezwa. Alipigwa chini chaliiiiii
hakiii huyu mtoto aijui alilogwaaaaaaa
 
Kwani Fiesta ni Tamasha la Tigo au Clouds Fm?!
 
Anafanya na kampuni zote ila kwenye mitandao ni voda tu na kwenye vinywaji ni coca cola tu, tena nje ndowana hizi tabia za kampuni moja tu na sio kuhama hama. Mf Ronaldo nike, Messi addidas ushawai kuona wamehama? Au kanye na addidas
We Inzi alafu ndio hata uelewi...Fiesta ni Tamasha la Clouds Media na sio Tigo...Msanii akimwaga wino wote tunaona anasaini mikataba na Clouds Media na sio Tigo...Tigo wanatamasha yao wanayoandaa wenyewe kama lile lilolofanyika mwaka jana na wasanii wakala mpunga mrefu au yale matamasha yao ya bure kule Coco beach na mwembe Yanga temeke tusichanganye habari...Diamond na uongozi wake waseme ukweli kwanini wanaikwepa Fiesta.
 
Wanawaogopa timu kiba maana wale bange ndo chakula hukumbuki yaliyotokea kwny fiesta na tigo concert.....

Wapo radhi kwenda kwny show wamebeba mavi mifukoni maana mashabiki wa kiba akili zao wanazijua wenyewe ndo maana domo anajaribu sana kukwepa kufanya show na kiba akiwepo kwa apa bongo kwa sababu makpo, mikojo plus booooooooooo za kutosha zitamuhusu
 
Anaitwa Dai au Chibu au Baba Tiffah au SIMBA

au Mwite tu Diamond Platnumz mtoto wa Tandale aishiye South Africa kwenye nyumba yake.

Nilifikiri atasema hashiriki kwakuwa analea mimba ya mkewe

Vodacom inamlipaje huyu jamaa?
Imempa 600M
 
sana tu mjomba,huyo dogo nakubali sana hustle zake za kimaisha
 
Back
Top Bottom