Hii ndo sababu inayomfanya Diamond asishiriki Fiesta 2016

Hii ndo sababu inayomfanya Diamond asishiriki Fiesta 2016

Si aseme tu anamuogopa kiba yaishe mizunguko mingi wakat inajulikana kabisa palipo kiba mondi hasogei
Sasa mnataka aseme mnayotaka kuiskia nyie au ukwel uliopo mnafikr yule ni mpumbavu avunje mkataba kirahis kwa show ya siku moja?
 
Chonde chonde vodacom mkubalieni afanye moja tu ya Dar... Iwe kama 2014 ...mimawe
We ukimrushia mawe ni sawa na kuwatia hasara waliompa pesa,maana anachukua mamilioni kibao na hayafanyii kazi, halafu yule munayehisi mnampenda ndio mnamtumikisha,wakati huo huo yule aliyechukua pesa kiulaini ndio anazidi kupanda tu.
 
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
 
dunia yaelekea imekupita kando.umesahau yaliyompata mourinho alipokuabanahamia man u kwenye mikataba ya matangazo ya magari??hayo makampuni nao wamekua wajanja sana.hawaruhusu wapinzani wao ktk biashara kuwatumia watu wao..fiesta ingedhamuniwa na tbl kila msanii angekua huru kushiriki
 
Anafanya na kampuni zote ila kwenye mitandao ni voda tu na kwenye vinywaji ni coca cola tu, tena nje ndowana hizi tabia za kampuni moja tu na sio kuhama hama. Mf Ronaldo nike, Messi addidas ushawai kuona wamehama? Au kanye na addidas
CR7 adidas
MESS nike
 
Voda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee
We ni kiazi aisee..Unajua biashara kweli wewe? Unajua maana ya endorsement? Usingeandika huo uharo. Hela inatupwaje kwa msanii kama diamond? U
 
We ni kiazi aisee..Unajua biashara kweli wewe? Unajua maana ya endorsement? Usingeandika huo uharo. Hela inatupwaje kwa msanii kama diamond? U
tena ujue hamna kiaz kama ww tena kiaz kisichojiweza yan diamond ndo unamwita msaani kwa usanii gani alionao ww mbulula kweli kupaishwa na midia ndo usanii ww na huyo kiaz mwenzio mkajithafmin
 
Back
Top Bottom