Jizi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 297
- 300
Sahihi mkuu. Dau la US $ 600,000,sio mchezo mkuu[emoji383] [emoji383]Diamond alisign na Vodacom dili la shilingi Bilioni Moja,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi mkuu. Dau la US $ 600,000,sio mchezo mkuu[emoji383] [emoji383]Diamond alisign na Vodacom dili la shilingi Bilioni Moja,
Sasa mnataka aseme mnayotaka kuiskia nyie au ukwel uliopo mnafikr yule ni mpumbavu avunje mkataba kirahis kwa show ya siku moja?Si aseme tu anamuogopa kiba yaishe mizunguko mingi wakat inajulikana kabisa palipo kiba mondi hasogei
Hivi Kiba alishahama kwa Maza au bado ????Si aseme tu anamuogopa kiba yaishe mizunguko mingi wakat inajulikana kabisa palipo kiba mondi hasogei
We ukimrushia mawe ni sawa na kuwatia hasara waliompa pesa,maana anachukua mamilioni kibao na hayafanyii kazi, halafu yule munayehisi mnampenda ndio mnamtumikisha,wakati huo huo yule aliyechukua pesa kiulaini ndio anazidi kupanda tu.Chonde chonde vodacom mkubalieni afanye moja tu ya Dar... Iwe kama 2014 ...mimawe
Na umemkubali baada ya kusikia kuna pesa hapo kati.. ! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Jamaa nimemkubal
Atakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Leta picha cassper aki perform iyo showCasper Vyovest Ana mkataba na MTN south Africa na juzi alifanya show iliyoandaliwa na Telcom South Africa.
Ndiyo hivyo na anajua kuitafutaNa umemkubali baada ya kusikia kuna pesa hapo kati.. ! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
dunia yaelekea imekupita kando.umesahau yaliyompata mourinho alipokuabanahamia man u kwenye mikataba ya matangazo ya magari??hayo makampuni nao wamekua wajanja sana.hawaruhusu wapinzani wao ktk biashara kuwatumia watu wao..fiesta ingedhamuniwa na tbl kila msanii angekua huru kushirikiAtakuwa alichemka katika mkataba huo. Wenzake huwa wanaondoa kipengele hicho ili wasijifunge na kampuni moja tu na hivyo wanakuwa huru kufanya kazi na kampuni mbalimbali. Aangalie wasanii wa nje wafanyavyo
Cocs vs pepsiBrilliant. Iyo ndio biashara. Wengine wanavunjiaga contract ivyo ivyo. Unancotract n koka mezan kuna Pepsi
Mwache huyo bibie apumzike, tumbo huwa linamuuma kila mwisho wa mwezi.Sasa na wewe kilichokufanya uje kwenye thread ya mtu asiyekuhusu ni nini?!
CR7 adidasAnafanya na kampuni zote ila kwenye mitandao ni voda tu na kwenye vinywaji ni coca cola tu, tena nje ndowana hizi tabia za kampuni moja tu na sio kuhama hama. Mf Ronaldo nike, Messi addidas ushawai kuona wamehama? Au kanye na addidas
Voda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee
We ni kiazi aisee..Unajua biashara kweli wewe? Unajua maana ya endorsement? Usingeandika huo uharo. Hela inatupwaje kwa msanii kama diamond? UVoda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee
tena ujue hamna kiaz kama ww tena kiaz kisichojiweza yan diamond ndo unamwita msaani kwa usanii gani alionao ww mbulula kweli kupaishwa na midia ndo usanii ww na huyo kiaz mwenzio mkajithafminWe ni kiazi aisee..Unajua biashara kweli wewe? Unajua maana ya endorsement? Usingeandika huo uharo. Hela inatupwaje kwa msanii kama diamond? U
ItilistWatusaidie tupige Simu Bure.
Hujui biashara wewe funga mdomo acha wanaojua biashara wafanye yao.Unajua maana ya kutupa hela au ni utoto tu ulionao.Voda wanashindwa kuwasaidia wasio jiweza wanaenda kutupa hella aisee