Hii ndo sababu ya jina simba kutangulia, kila zinapotajwa pamoja simba & yanga

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam wakuu,

wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih.

ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo kiprotokali jina la mtoto lazima lianze then la mzazi ndo hufuata, natumai walokua hawajui jambo hili wamepata mwanga.
 
Upuuzi mwingine huu,yaani hapa umefikiri weeeee ndiyo ukatoka na huu ushuzi. Misukule ya Ghalib mna shida sana
 
Salaam wakuu,

wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih.

ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo kiprotokali jina la mtoto lazima lianze then la mzazi ndo hufuata, natumai walokua hawajui jambo hili wamepata mwanga.
simba ndy tim pekee inayowakilisha nch ko lazim iwe yakwanza kutajwa
 
Salaam wakuu,

wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih.

ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo kiprotokali jina la mtoto lazima lianze then la mzazi ndo hufuata, natumai walokua hawajui jambo hili wamepata mwanga.
Aliyewaroga amekufa
 
Yanga Alipewa mimba na nani. hadi Simba akazaliwa
 
Ni rahisi kuanza kutamka Simba vs yanga kuliko yanga vs Simba...ya Kwanza hiyo hata mdomoni inakubali kirahisi na wakati mwingine nafikiri ni alphabet...
 
ni sawa tu na MC anavyosema Mabibi na Mabwana...
 
Ni sawa na kusema ladies and gentlemen au mabibi na mabwana.
Ladies first.
 
Salaam wakuu,

wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih.

ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo kiprotokali jina la mtoto lazima lianze then la mzazi ndo hufuata, natumai walokua hawajui jambo hili wamepata mwanga.

Hiyo ni sound nzuri ya mpangilio wa hayo maneno kwamfano ukisema yanga na simba haiwezi kusaundi vizuri kama ukisema simba na yanga
 
Back
Top Bottom