Hii ndo sababu ya jina simba kutangulia, kila zinapotajwa pamoja simba & yanga

Hiyo ni sound nzuri ya mpangilio wa hayo maneno kwamfano ukisema yanga na simba haiwezi kusaundi vizuri kama ukisema simba na yanga
yawezekana upo sahihi bt sababu kuu simba ni mtoto wa yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…