Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Pridah Hawa watu wengine ni wa kuwa ignore tu, wengine wana matatizo ya kisaikolojia.Sawa nitaenda na public property wangu.
Happy now?
Shukurani DR Mambo Jambo kwa mada hii adimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pridah Hawa watu wengine ni wa kuwa ignore tu, wengine wana matatizo ya kisaikolojia.Sawa nitaenda na public property wangu.
Happy now?
Thanks mkuuPridah Hawa watu wengine ni wa kuwa ignore tu, wengine wana matatizo ya kisaikolojia.
Shukurani DR Mambo Jambo kwa mada hii adimu.
Ahaha maji yako na chumvi kali sana kuna kitu kinaitwa sodium sesquicarbonate hii ni double sodium Bicarbonate yaani ni Double formulation athari yake ni kubwa sana kwa binadamu so huwezi ruhusiwa...Kuogelea inaruhusiwa hapo
Kweli kabisa.Pridah Hawa watu wengine ni wa kuwa ignore tu, wengine wana matatizo ya kisaikolojia.
Shukurani DR Mambo Jambo kwa mada hii adimu.
PazuriiiSafi sana pinyinyi ndo maeneo hayo hayo..
Na ndo kata iliyopakana na Ziwa Natron
Sasa njoo upande wa Nyuma wa pinyinyi kama kwenye hilo bonde
View attachment 2844001
Yeah pazuri sana aisse huwezi amini ksamba ni TzPazuriii