Carbon 4real
Member
- Mar 8, 2025
- 7
- 10
Sina cha kuongeza zaidi maana nishaeleza Sana Kwa kina jinsi GOT ilivyo. Dunia nzima inajua hakuna series Kali kama GoTMnataka kumtoa Da'Vinci mafichoni😀
Wameigiza kwa hisia sana
Nikiangalia episode 2 za mwanzo tu naiona kama sio series nzuri. Kitu kibaya ni kuona kuna mauzauza mengi mambo gani hayaView attachment 3264985
Game of thrones ni balaa kabisa. The 7 kingdoms. Yule dogo king jefrey aliigiza uhalisia hadi watu wakamchukia hadi baada ya hapo akaacha kuigiza kabisa.Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.
Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia kuna koo nyingine nyingi ambazo nazo zinakitaka kiti icho cha ufalme.View attachment 3264767Stori yake nzuri pamoja uhusika kuchezwa vizuri kwenye hii series na hii inapelekea kuwa series bora ya muda wote.
Game Of Thrones 🔥🔥🔥
Owa mlufdishe Jumong bhana kwenye Avatar😂😂😂Jamaa Die hard fan wa hiyo series , Mimi naona chenga tu sielewi vitu kama hivyo.
Ni kwa mara ya kwanza tokea nijiunge Jf miaka karibia nane mwaka huu ndio nimebadilisha Avatar tofauti na Jumong..Owa mlufdishe Jumong bhana kwenye Avatar😂😂😂
Umetaja series yangu boraOwa mlufdishe Jumong bhana kwenye Avatar😂😂😂
Wakorea walicheza ile seriesUmetaja series yangu bora
Me nipo na wewe mpaka wwkuue mkuu 😀😀Ni kwa mara ya kwanza tokea nijiunge Jf miaka karibia nane mwaka huu ndio nimebadilisha Avatar tofauti na Jumong..
Sasa nipo kikazi nimeshika Gun ,siibadilishi hiyo avatar mpaka nitakaposambaratisha completely Ghayos Gang.... Maarass!!! Maghayo MongoView attachment 3265060
HakikaWakorea walicheza ile series
Prison Break is overrated!Tufanye Prison break bado haijawahi kuigizwa