hamna kitu pale,alikuwa anabebwa na eastcost team
Nafikiri watu wengi wanachanganya sana kuna wasanii wametoa track chache sana so ni ngumu sana kuwaweka kwenye ALL TIME HIP HOP MC IN TANZANIA,wasanii kama Imam Abbas,Faza Nelly(RIP),Dogo Hashim,Salu T,Jose Mtambo na wengineo but still wana mchango mkubwa sana kwenye Hip Hop ya Tanzania
Hata kama anabebwa but MITAA YA KATI ni moja ya track kali sana ya HIP HOP hapa bongo
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.bishoo
4.mshamba
5.feimas
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori 3
10.kimyakimya
11.ingekuwa vipi
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16.kama unataka demu
17........
18........
19.........
20.........
hizi shit miaka 100 hazichuji dah!respect kwako JUMA MCHOPANGA japo wamekubania vya kutosha
Hata kama anabebwa but MITAA YA KATI ni moja ya track kali sana ya HIP HOP hapa bongo
So conclusion ni kwamba Mbakiaji, More Tech ndo kinara wa Hip hop nchini, hili halina ubishi.
Ni basi tu ukiritimba wa watu wachache unafanya jamaa afifie now.
Binafsi albamu ya Kwanza ya Jay Moo ndio albam bora ya bongo flava ambapo hakuna hata wimbo mmoja wa kusema ni wa kurusha/forward mbele
'ULIMWENGU NDIYO MAMA'
ndio albam bora kwa hiphop ya kibongo miaka 800
1.j mo
2.solo thang
3.kalapina
4.sugu
5.hashim
6.one
7.yule aliyechomwa kisu arusha
8.ngwair
9.niki mbishi
10.roho7
10.
1.sugu
2.fid q
3.j mo
4.solo thang
5.xplastaz
6.imam abass
7.ngwea
8.joh makini
9.mwana fa
10.kalah pina
Hili halina ubishi kaka.
Sijui kwa ukali wa ile Album, Jay Mo hata alifaidika vipi aisee.
Kwa mapromota wa Muziki, mtu kama huyu unamchukua na kumfanyia Special Tamasha lake, lazima watu wawatajaa tu na mkwanja utaingia.
Fikiria unaambiwa kua katika Playlist ya Album atakayopiga Jay Mo katika hilo Tamashwa la LIVE, zifuatazo zitakuwepo.
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.we bishoo tu
4.mshamba
5.famous
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori ya mtu3
10.kimyakimya
11.kama unataka demu
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16. Misosi Mitungi na Pamba
Ha ha ha ha,Hii albamu ya ULIMWENGU NDIO MAMA ilinifanya niitumie hela niliyopewa na bi mkubwa kwa ajili ya kununua mkebe na matumizi yangu madogo madogo,yote niliitumia kununua albam hii na ndo albam ya kwanza kuinunua mwenyewe,then ikafuatia a.k.a MIMI ya Ngwea
1.Jmo
2.solothang
3.prof j
4.ngwair
5.fid
6.gk
7.kalapina
8.bonta
9.roho7
10.baghdad
Dah, yaani hata kama Chid Benz sijamuona popote akiwa mentioned, huyu kwangu hawezi kosa kwenye Top 3, and my complete list being:
1.Jay Moe
2. Fid Q
3. Chid Benzino
4. Mwana-FA
5. Afande Sele
6. Prof J
7.Ngwair
8. Joh Makin
9. Immam Abbas
10.Langa
napanga list hii nikitumia kigezo cha real hip hop na si vinginevo.
1. JAY MOE
2.SOLO THANG
3.IMMAM ABBAS
4.PROF J
5.FATHER NELLY
6.NGWAIR.
7.BALOZI.
8.AFANDE SELE
9.FID Q
10.CHINDO MAN WATENGWA
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.bishoo
4.mshamba
5.feimas
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori 3
10.kimyakimya
11.ingekuwa vipi
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16.kama unataka demu
17........
18........
19.........
20.........
hizi shit miaka 100 hazichuji dah!respect kwako JUMA MCHOPANGA japo wamekubania vya kutosha
Mtazamo wangu huwezi kumsogeza prof j kwa bogo mwanaharamu ww