Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

Nafikiri watu wengi wanachanganya sana kuna wasanii wametoa track chache sana so ni ngumu sana kuwaweka kwenye ALL TIME HIP HOP MC IN TANZANIA,wasanii kama Imam Abbas,Faza Nelly(RIP),Dogo Hashim,Salu T,Jose Mtambo na wengineo but still wana mchango mkubwa sana kwenye Hip Hop ya Tanzania

Hapo kwenye Red umenena,huwezi ukamuweka mtu kwenye All Time List kwa nyimbo 3,hatujui kama angeendelea angekuwa na consistency kiasi gani.Nashangaa sana mtu anapomuweka Hashim Dogo,Immam Abbas,Salu T,Roho 7,Stamina,etc kwenye hii listi.Eti mtu anadiriki kumuweka Stamina juu ya Profesa Jay,si kichekesho hiki
 
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.bishoo
4.mshamba
5.feimas
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori 3
10.kimyakimya

11.ingekuwa vipi
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16.kama unataka demu
17........
18........
19.........
20.........

hizi shit miaka 100 hazichuji dah!respect kwako JUMA MCHOPANGA japo wamekubania vya kutosha



nakubaliana na wewe huyu jamaa [mchopanga] namkubalisana inshort jamaa anajua
 
So conclusion ni kwamba Mbakiaji, More Tech ndo kinara wa Hip hop nchini, hili halina ubishi.

Ni basi tu ukiritimba wa watu wachache unafanya jamaa afifie now.

Binafsi albamu ya Kwanza ya Jay Moo ndio albam bora ya bongo flava ambapo hakuna hata wimbo mmoja wa kusema ni wa kurusha/forward mbele
 
So conclusion ni kwamba Mbakiaji, More Tech ndo kinara wa Hip hop nchini, hili halina ubishi.

Ni basi tu ukiritimba wa watu wachache unafanya jamaa afifie now.

Binafsi albamu ya Kwanza ya Jay Moo ndio albam bora ya bongo flava ambapo hakuna hata wimbo mmoja wa kusema ni wa kurusha/forward mbele

'ULIMWENGU NDIYO MAMA'
ndio albam bora kwa hiphop ya kibongo miaka 800
 
'ULIMWENGU NDIYO MAMA'
ndio albam bora kwa hiphop ya kibongo miaka 800

Hili halina ubishi kaka.
Sijui kwa ukali wa ile Album, Jay Mo hata alifaidika vipi aisee.
Kwa mapromota wa Muziki, mtu kama huyu unamchukua na kumfanyia Special Tamasha lake, lazima watu wawatajaa tu na mkwanja utaingia.

Fikiria unaambiwa kua katika Playlist ya Album atakayopiga Jay Mo katika hilo Tamashwa la LIVE, zifuatazo zitakuwepo.
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.we bishoo tu
4.mshamba
5.famous
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori ya mtu3
10.kimyakimya
11.kama unataka demu
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16. Misosi Mitungi na Pamba
 
1.j mo
2.solo thang
3.kalapina
4.sugu
5.hashim
6.one
7.yule aliyechomwa kisu arusha
8.ngwair
9.niki mbishi
10.roho7
10.


Katika simu yangu Jay Moe aliingia kwa kusema ''Simu yangu ni soo, kuishika mtu sikubali, hata niwe na Demu wangu simu yangu ntaiweka mbali, na sichelewi kuizima nkaiwasha nkiachana nae, najuwa ikiwa hewani nitagombana nae...
 
1.sugu
2.fid q
3.j mo
4.solo thang
5.xplastaz
6.imam abass
7.ngwea
8.joh makini
9.mwana fa
10.kalah pina


Juma ndo yuleyule umashuhuri haujanibadilisha...
Ni upara hakuna nywele style ya kiduku itapita...
 
Hili halina ubishi kaka.
Sijui kwa ukali wa ile Album, Jay Mo hata alifaidika vipi aisee.
Kwa mapromota wa Muziki, mtu kama huyu unamchukua na kumfanyia Special Tamasha lake, lazima watu wawatajaa tu na mkwanja utaingia.

Fikiria unaambiwa kua katika Playlist ya Album atakayopiga Jay Mo katika hilo Tamashwa la LIVE, zifuatazo zitakuwepo.
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.we bishoo tu
4.mshamba
5.famous
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori ya mtu3
10.kimyakimya
11.kama unataka demu
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16. Misosi Mitungi na Pamba

Hii albamu ya ULIMWENGU NDIO MAMA ilinifanya niitumie hela niliyopewa na bi mkubwa kwa ajili ya kununua mkebe na matumizi yangu madogo madogo,yote niliitumia kununua albam hii na ndo albam ya kwanza kuinunua mwenyewe,then ikafuatia a.k.a MIMI ya Ngwea
 
Hii albamu ya ULIMWENGU NDIO MAMA ilinifanya niitumie hela niliyopewa na bi mkubwa kwa ajili ya kununua mkebe na matumizi yangu madogo madogo,yote niliitumia kununua albam hii na ndo albam ya kwanza kuinunua mwenyewe,then ikafuatia a.k.a MIMI ya Ngwea
Ha ha ha ha,
Mi nlikua navizia tu kwa redio ikipigwa narekodi hapohapo
 
Dah, yaani hata kama Chid Benz sijamuona popote akiwa mentioned, huyu kwangu hawezi kosa kwenye Top 3, and my complete list being:
1.Jay Moe
2. Fid Q
3. Chid Benzino
4. Mwana-FA
5. Afande Sele
6. Prof J
7.Ngwair
8. Joh Makin
9. Immam Abbas
10.Langa


Wale waliotegemea wataendesha forana kwa kutegemea mkali wa rhymes...
Dili iliharibika bwana usitegemee tena vya haramu...

Jipange...
 
napanga list hii nikitumia kigezo cha real hip hop na si vinginevo.
1. JAY MOE
2.SOLO THANG
3.IMMAM ABBAS
4.PROF J
5.FATHER NELLY
6.NGWAIR.
7.BALOZI.
8.AFANDE SELE
9.FID Q
10.CHINDO MAN WATENGWA


Sister Duu akipiga naongea kibrazamen...
Kama Mr Mchopanga ntaongea kwa heshima flani...

Jay Moe is Numero Uno
 
1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.bishoo
4.mshamba
5.feimas
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori 3
10.kimyakimya

11.ingekuwa vipi
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16.kama unataka demu
17........
18........
19.........
20.........

hizi shit miaka 100 hazichuji dah!respect kwako JUMA MCHOPANGA japo wamekubania vya kutosha


Absolutely...
 
Maisha ya boarding noma
jmo nimesoma
na ndipo nlpopata neno ulimwengu ndo mama
primary ckupas
ckuwa na nyota njema
ikabidi nisome boardng
kuepuka na lawama
kama wewe form one shida kibao utapata
kuna kuibiwa,kuna adhabu maisha kama vita
siku za mwanzoni
ni siku za kufanya tathmini
niliogopa sana mambo ya kupga sim chooni....
Mtoto wa mama bora usome day bongo dar es salam
ilambo hakuna tution
ilambo hakuna fashen
kama unaenda town
mpaka utegee gari ya mishen
 
Mtazamo wangu huwezi kumsogeza prof j kwa bogo mwanaharamu ww

Katika wachangiaji wachache mno ambao wanaijua mno Hip hop mkuu wewe nimekuoa Rspect. kama unamtambua mtu anaitwa Hashimu Dogo, basi unaijua hii kitu. wanaokubishia waitafute kitu inaitwa Tunasonga.Muulizeni hata J mwenyewe anakwambia Hashim Dogo (wa kikosi zamani kidogo) ni bonge la EMcee. Respect mkuu unajua
 
mpaka rais ananijua nenda kaulize wanawe/
wasipoongea na mshua mi ntaongea nae mwenyewe/
tuzo walinibania this year watanigea wenyewe/
baada ya lundo kunibania, ambazo nilistahili nipewe/

ukichunguza vzr jamaa anawafunika sana kwenye colabo ndo mana mtu akimshrksha trak 1 hatak tena cku nyngne

1.ukisikia paa remix(jcb alijuta kumshrkisha)

2.mchizi wangu rmx(humu alikmbz mbaya)

3.jirushe rmx(hii nymbo unaweza sema yake)

4.ingekuw vp(mwanafaty toka siku hyo hatak kumpa colabo jmo kisa nyimbo hii)

5.girlfriend(humu balaa)

6.wanashangaa(jcb alipotezwa vbaya na shairi zake za kuungaunga)

7.msela(humu wateule wamebebwa sana na Mo)

8.vilevile(tafuta hii trak ujione mwenyewe Mo alichofanya)

9.tathmini(prof j alipga saluti humu)

10.sihitaji(lord eyez alijuta kupga nae kolabo)

Alafu kuna nyimbo alipiga na salama jabr wamemwimbia mtoto wa mengi aliyefariki
 
Back
Top Bottom