kinenekejo
Senior Member
- Oct 31, 2011
- 176
- 51
hizo websites nyingi wanatumia data za kwenye websites za vyuo. na vyuo vyetu vingi vya africa havipublish data zake, haviupdate kwahiyo data nyingi, tafiti nyingi haziwi online. na mambo kama hayo.Ubora wa vyuo vikuu hupimwa kimataifa kwa kutumia vigezo malumu kitaalamu si na washabiki wa vijiweni au na wacheza bahati na sibu au wapiga ramli
mdau ktk vyuo bora umekisahau chuo cha st.joseph
Mtaongea saana lkn hakunaga kama st.Augustine university of TZ, hapa Tz usione kuenea kwake! eg. A ya ud ni B+ ya SAUT!
ina maana nyingi mfano kutenganisha vitu viwili ambavyo kabla vilikua vimeungana!!!!!tafsiri ya neno kata ni ipi?
ndio ni ya kumi na moja alafu iweje!!! kimetusaidia nini watanzania???UDSM among top 11 African universities: 2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
ardhi nchuo?? mi sikatai ila kwa nini vyeti kwa wanaomaliza wanachukulia UDSM!!? umeskia wapi st joseph au udom wanatolea vyeti mzumbe?? embu naomba nieleweshe hapo!!!acha ushamba, ardhi ni practical oriented university. huwezi kulinganisha na st augustine cha vilaza waliopata div 3 &4 za HGH,HKL. Ardhi &muhimbili zilikuwa branch za udsm, hata entry requirements zake ziko tofauti na vyuo vingine. out put za ardhi & muhimbili huwezi kulinganisha na za st augustine. hapo tunapima interms of soko, je fresh graduate wa st augustine soko lake utalinganisha na fresh graduate wa st augustine? interms ya uwezo. for your info, graduates wa ARU hahitaji orintation/shortcourse baada ya kuajiriwa akiwa ametoka chuo. anaweza kutoka chuo na kuingia ofisini na kupiga mzigo bila vijikozi vya ziada.
institute of finance management in swahili TAASISI YA USIMAMIZI WA FEDHA....kwa mantiki hiyo mi napinga kwa kwamba IFM sio chuo bali ni taasisi....Wengi humu jamvini wana chuki binafsi na hicho chuo cha IFM, nitafanya uchunguzi binafsi kwa hili ila ukweli ni kwamba wengi wamemegewa mademu zao mitaa ile sasa imekuwa chuki na chuo sio mtu binafsi kwikwikwikwikwi poleni sana
hilo ni angalizo....mi napita tu.....Ni kweli amekosea kuiita IFM Chuo, kwani IFM ni TAASISI na wala sio Chuo
hapa sijaelewa au ndo unaropoka???acha kudanganya watu,E ya udsm ndo sawa na 'A' ya saut.
hapa sijaelewa au ndo unaropoka???
Mtaongea saana lkn hakunaga kama st.Augustine university of TZ, hapa Tz usione kuenea kwake! eg. A ya ud ni B+ ya SAUT!
acha kudanganya watu,E ya udsm ndo sawa na 'A' ya saut.
=gfsonwin wangu mbona umekuja juu sana kama moto wa kifuu, inahu.....!! Ni maoni yake tu, just live it.
Kwa msaada, this is the list
[TABLE="width: 745, align: center"]
[TR]
[TD]
[TABLE="align: left"]
[TR]
[TD]Ads by Google
Postgraduate Study All about studying at University of Westminster, taught and research Prospects.ac.uk
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 745, align: center"]
[TR]
[TD="width: 500, align: center"]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 18, bgcolor: #669966"]
[/TH]
[TH="class: bl, bgcolor: #669966"]Universities
[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TH="class: bl, width: 240, bgcolor: #669966, align: center"]Locations
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]1 University of Dar es Salaam
[/TD]
[TD]Dar es Salaam ...
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]2 The Hubert Kairuki Memorial University
[/TD]
[TD]Dar es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]3 Sokoine University of Agriculture
[/TD]
[TD]Morogoro ...
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]4 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
[/TD]
[TD]Dar es salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]5 Mount Meru University
[/TD]
[TD]Arusha
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]6 St. Augustine University of Tanzania
[/TD]
[TD]Mwanza ...
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]7 Mzumbe University
[/TD]
[TD]Morogoro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]8 The University of Dodoma
[/TD]
[TD]Dodoma
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]9 International Medical and Technological University
[/TD]
[TD]Dar es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]10 St. John's University of Tanzania
[/TD]
[TD]Dodoma
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]11 The University of Arusha
[/TD]
[TD]Arusha
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]12 Ardhi University
[/TD]
[TD]Dar es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]13 The State University of Zanzibar
[/TD]
[TD]Zanzibar City ...
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]14 Tumaini University
[/TD]
[TD]Dar es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]15 Teofilo Kisanji University
[/TD]
[TD]Mbeya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]16 Zanzibar University
[/TD]
[TD]Zanzibar City
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]17 Muslim University of Morogoro
[/TD]
[TD]Morogoro
[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]
du! unamaanisha masheikh ndio vilaza nini? mm sipo!
ardhi nchuo?? mi sikatai ila kwa nini vyeti kwa wanaomaliza wanachukulia UDSM!!? umeskia wapi st joseph au udom wanatolea vyeti mzumbe?? embu naomba nieleweshe hapo!!!