Hii Ndoa Tarajiwa Inaniumiza kichwa

Hii Ndoa Tarajiwa Inaniumiza kichwa

Tesla Motors

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
62
Reaction score
26
Miaka ya Nyuma kidogo kulikuwa na binti mmoja mrembo pale mtaani kwetu, binti kutoka familia yenye uwezo (ya kishua).

Binti huyu wanaume waliogopa Kutoka Naye na pia hata kumtongoza kutokana na nyodo zake pia hata ukali wa baba yake kwa kuwa binti bado alikuwa anasoma.

Nilikuwa namfaham kwa kitambo kiref ila sikuwaza kuja kudate naye mpaka pale nlipokosana na mpenzi wangu ndipo nikamtongoza na yule binti hakusita kuwa nami kwani nilitumia uBornTown mwingi kiasi kwamba binti akaona she deserves a Man like me!

Binti yule nilimkuta Hajatumika maanake mm ndio mwanaume wake wa kwanza na nilimpa ahadi nyingi pamoja na kumhakikishia kumuoa!

Sasa Miaka imeenda imerud ni zaidi ya miaka sita sasa tangu niwe nae na ule wakati wa yeye kuhitaji kuolewa umefika ila kisaikolojia mimi sipo tayari kabisa.

Kwanini sipo tayari? Hizi Hapa sababu!
1.Binti Huyu ni Mzuri wa sura na umbo sasa nafikiri ukioa mwanamke wa aina hii ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule ya msingi!
2.Binti Huyu Hajui Hustles, kwanza physicaly anaeza kutembea kilomita moja akawa hoi taabani.
3.Binti Huyu sijawahi Kuona Fikra yake Productive Hata Moja na ujuavyo mwanamke wa Ndoa anatakiwa angalau awe na Fikra Productive!

Mimi Nafikiria kuamua kumpiga chini kwa utashi wa Fikra zangu ila kama una la kunishauri Nishauri tu Huenda ikanisaidia Pakubwa.

Muwe na Usiku Mwema!
 
Hahaha....aiseee....kama moyo unasita achana nae....au jiandae kumbeba mgongoni huyo.....usiku mwema
 
Mkuu na mimi sina fikra productive huyo ndo atanifaa ni pm namb yake, mazwazwa kwa mazwazwa wakaondoe uzwazwa.
jf ina burudan zake aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kutokana na maelezo yako inaonyesha hujui nini unataka kwa mwanamke, unaogopa mwanmke mzuri, wewe hujiamini. Unataka mwanamke hustle, basi wewe sio mtafutaji ni mbabaishaji tu unataka mwanmke umtegemee. Unataka mwenye fikra productive , basi wewe ni mvivu na mtegemezi wa kifikra.
Kwa sifa za huyo mwanamke mimi ndo napendaga wa namna hiyo.

1. Wewe unachotaka sio mwanamke, unataka sura mbaya kwaajili ya uchoyo ukiogopa kuibiwa na pia kwasababu hujiamini kuwa unaweza mridhisha na kumuhudumia.
2. Unataka mwanamke mtafutaji ili wewe ukae kijiweni yeye akatafute wakati kutafuta sio kazi ya mwanamke.
3. Unataka mwenye fikra pevu kwamaana wewe ni bongo lala wala hujui kuwaza, mwanaume ni kichwa cha nyumba, mipango yote ya maisha na mstakabali wa familia hutoka kwa baba.
 
Kwa kifupi wewe sio muoaji. Umemtumia binti wa watu, sasa umemchoka unakuja jamvini na stori za abunwasi. Huna hata sababu moja ya msingi hapo.
Vijana mfike mahali mjitambue na mtambue kwamba unaweza kutongoza na kumpata binti yoyote hata bila kuweka swaga za kumuoa.
Mbona sisi kaka zenu tunachukua watoto wakali mtaani bila mbwembwe nyingi. BADILIKENI VIJANA.
 
Miaka ya Nyuma kidogo kulikuwa na binti mmoja mrembo pale mtaani kwetu, binti kutoka familia yenye uwezo (ya kishua).

Binti huyu wanaume waliogopa Kutoka Naye na pia hata kumtongoza kutokana na nyodo zake pia hata ukali wa baba yake kwa kuwa binti bado alikuwa anasoma.

Nilikuwa namfaham kwa kitambo kiref ila sikuwaza kuja kudate naye mpaka pale nlipokosana na mpenzi wangu ndipo nikamtongoza na yule binti hakusita kuwa nami kwani nilitumia uBornTown mwingi kiasi kwamba binti akaona she deserves a Man like me!

Binti yule nilimkuta Hajatumika maanake mm ndio mwanaume wake wa kwanza na nilimpa ahadi nyingi pamoja na kumhakikishia kumuoa!

Sasa Miaka imeenda imerud ni zaidi ya miaka sita sasa tangu niwe nae na ule wakati wa yeye kuhitaji kuolewa umefika ila kisaikolojia mimi sipo tayari kabisa.

Kwanini sipo tayari? Hizi Hapa sababu!
1.Binti Huyu ni Mzuri wa sura na umbo sasa nafikiri ukioa mwanamke wa aina hii ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule ya msingi!
2.Binti Huyu Hajui Hustles, kwanza physicaly anaeza kutembea kilomita moja akawa hoi taabani.
3.Binti Huyu sijawahi Kuona Fikra yake Productive Hata Moja na ujuavyo mwanamke wa Ndoa anatakiwa angalau awe na Fikra Productive!

Mimi Nafikiria kuamua kumpiga chini kwa utashi wa Fikra zangu ila kama una la kunishauri Nishauri tu Huenda ikanisaidia Pakubwa.

Muwe na Usiku Mwema!
Siku hizi hamtaki wanawake wabebe majukumu ya uzazi na ulezi ila ya kuzalisha mali ndani ya nyumba [emoji26]
 
Kutokana na maelezo yako inaonyesha hujui nini unataka kwa mwanamke, unaogopa mwanmke mzuri, wewe hujiamini. Unataka mwanamke hustle, basi wewe sio mtafutaji ni mbabaishaji tu unataka mwanmke umtegemee. Unataka mwenye fikra productive , basi wewe ni mvivu na mtegemezi wa kifikra.
Kwa sifa za huyo mwanamke mimi ndo napendaga wa namna hiyo.

1. Wewe unachotaka sio mwanamke, unataka sura mbaya kwaajili ya uchoyo ukiogopa kuibiwa na pia kwasababu hujiamini kuwa unaweza mridhisha na kumuhudumia.
2. Unataka mwanamke mtafutaji ili wewe ukae kijiweni yeye akatafute wakati kutafuta sio kazi ya mwanamke.
3. Unataka mwenye fikra pevu kwamaana wewe ni bongo lala wala hujui kuwaza, mwanaume ni kichwa cha nyumba, mipango yote ya maisha na mstakabali wa familia hutoka kwa baba.
Ahsante kwa ushauri wa kibabe kiongozi bless up
 
Kwa kifupi wewe sio muoaji. Umemtumia binti wa watu, sasa umemchoka unakuja jamvini na stori za abunwasi. Huna hata sababu moja ya msingi hapo.
Vijana mfike mahali mjitambue na mtambue kwamba unaweza kutongoza na kumpata binti yoyote hata bila kuweka swaga za kumuoa.
Mbona sisi kaka zenu tunachukua watoto wakali mtaani bila mbwembwe nyingi. BADILIKENI VIJANA.
Asante Kaka
 
Back
Top Bottom