Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado Mkuuniachie hiyo nafasi mkuu
Haahhahaa we jamaaHuna lolote, umeshachakachua mbunye yake sasa unaona hafai!
By the way sio Mcharuko1. UMEMKUTA BIKRA
2. UMEMFUNUA MIAKA 6
UNATAKA KUMWACHA TENA BILA HOJA YA MSING, MI NILIDHAN LABDA MCHARUKO
MunkariDuh ! Miaka sita umeshaosha rungu lako limetakata sasa unataka kumbwaga mtoto wa watu eti kwa kisingizio watakugongea wakati mwenzio keshafunga hesabu asee .acha hizo heri ungemwacha afe na birika yake loh! Hapo mwanzo si ulijua wa kishua? Anafulia mashine??! Acha hizo !!!
Safi MkuuKitendo cha kukaa nae miaka 6 bila kumbadilisha inaonesha jinsi gani ma wewe ni boga kama yeye.
Kwa matatizo aliyonayo yanabadilishika kabisa.
Hakika binti kapata Boya, umepoteza muda wake bure
Hahahahaaa Sasa hapa Tunatosaje mzigo mkuuWakati unatongoza ulitegemea nini na nan alikushauri
Mabaharia hua tunatosa mizigo baharini kama tunaona Chombo kimezidiwa na kinataka kuzama
Asante dada inna umeongea kwa hisia sanaWe kaka utapata laana ww..miaka sita yote hyo leo ndo unaona hafai
Karma itakutafuna utatapa tapa usipate mtu sahihi we jua kwamba hakuna perfect na kwahuyo mtu wako hzo weakness zinarekebishika kabisa
Unaogopa uzuri kama anajiheshimu sio shida..wenzio wanataman apate mtu ata mwenye kimoja kati ya sura na shape
Jitafakari upya otherwise humpendi
HahahaaaHii sababu ya kutoweza kutembea 1km mbona haina mashiko sana!!
Daah umeongea kwa hisia kakaDuh ! Miaka sita umeshaosha rungu lako limetakata sasa unataka kumbwaga mtoto wa watu eti kwa kisingizio watakugongea wakati mwenzio keshafunga hesabu asee .acha hizo heri ungemwacha afe na birika yake loh! Hapo mwanzo si ulijua wa kishua? Anafulia mashine??! Acha hizo !!!