Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niunganishie mie uyo nioe mazeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niunganishie mie uyo nioe mazeee
Ndio nmeona unataka kumliza msichana mwenzangu..mtafutie kitu cha kufanya mpe somo hii dunia sio ya kukaa kubweteka naamin atakuelewaAsante dada inna umeongea kwa hisia sana
Yaah siyo vizuri bwanaDaah umeongea kwa hisia kaka
Salute kwako mkuu, jibu mujarab.Kutokana na maelezo yako inaonyesha hujui nini unataka kwa mwanamke, unaogopa mwanmke mzuri, wewe hujiamini. Unataka mwanamke hustle, basi wewe sio mtafutaji ni mbabaishaji tu unataka mwanmke umtegemee. Unataka mwenye fikra productive , basi wewe ni mvivu na mtegemezi wa kifikra.
Kwa sifa za huyo mwanamke mimi ndo napendaga wa namna hiyo.
1. Wewe unachotaka sio mwanamke, unataka sura mbaya kwaajili ya uchoyo ukiogopa kuibiwa na pia kwasababu hujiamini kuwa unaweza mridhisha na kumuhudumia.
2. Unataka mwanamke mtafutaji ili wewe ukae kijiweni yeye akatafute wakati kutafuta sio kazi ya mwanamke.
3. Unataka mwenye fikra pevu kwamaana wewe ni bongo lala wala hujui kuwaza, mwanaume ni kichwa cha nyumba, mipango yote ya maisha na mstakabali wa familia hutoka kwa baba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaHayo umeyagundua baada ya miaka saba eti!!
Wanaume wengine bwana!!!
Miaka ya Nyuma kidogo kulikuwa na binti mmoja mrembo pale mtaani kwetu, binti kutoka familia yenye uwezo (ya kishua).
Binti huyu wanaume waliogopa Kutoka Naye na pia hata kumtongoza kutokana na nyodo zake pia hata ukali wa baba yake kwa kuwa binti bado alikuwa anasoma.
Nilikuwa namfaham kwa kitambo kiref ila sikuwaza kuja kudate naye mpaka pale nlipokosana na mpenzi wangu ndipo nikamtongoza na yule binti hakusita kuwa nami kwani nilitumia uBornTown mwingi kiasi kwamba binti akaona she deserves a Man like me!
Binti yule nilimkuta Hajatumika maanake mm ndio mwanaume wake wa kwanza na nilimpa ahadi nyingi pamoja na kumhakikishia kumuoa!
Sasa Miaka imeenda imerud ni zaidi ya miaka sita sasa tangu niwe nae na ule wakati wa yeye kuhitaji kuolewa umefika ila kisaikolojia mimi sipo tayari kabisa.
Kwanini sipo tayari? Hizi Hapa sababu!
1.Binti Huyu ni Mzuri wa sura na umbo sasa nafikiri ukioa mwanamke wa aina hii ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule ya msingi!
2.Binti Huyu Hajui Hustles, kwanza physicaly anaeza kutembea kilomita moja akawa hoi taabani.
3.Binti Huyu sijawahi Kuona Fikra yake Productive Hata Moja na ujuavyo mwanamke wa Ndoa anatakiwa angalau awe na Fikra Productive!
Mimi Nafikiria kuamua kumpiga chini kwa utashi wa Fikra zangu ila kama una la kunishauri Nishauri tu Huenda ikanisaidia Pakubwa.
Muwe na Usiku Mwema!
Hii sababu ya kutoweza kutembea 1km mbona haina mashiko sana!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Anataka mwanamke mkakamavu, mbeba zege.