Hii Ndoa Tarajiwa Inaniumiza kichwa

Asante dada inna umeongea kwa hisia sana
Ndio nmeona unataka kumliza msichana mwenzangu..mtafutie kitu cha kufanya mpe somo hii dunia sio ya kukaa kubweteka naamin atakuelewa
 
Salute kwako mkuu, jibu mujarab.
 
Ukiacha wezako wanachukua, ukishiba wezako wanakula.
Mawazo yako ni mazuri sana lazima kujitasmni mwenyewe kabla ya kufanya maamuzi. Lakin kama msichana amependa na yupo tayari kulala chini mchukua, kama dona ali wala majani siyo size yako.
 
Kwanza nakupa hongera mkuu 6yrs kwenye relation hakika umejitahid. Turudi kwenye topic, sasa mkuu 6yrs ago na leo ndio umemuona hafai?. Bora ungemuacha mapema lakini now utamuachia maumivu ya milele but i know kwetu sisi wanaume ni so simple ila kwa mtt wa kike asee ataumia sana. Nenda nae taratibu mkuu huku ukijaribu kutafuta second option maana naona akili yako haimtaki kabisa.
 
Jiamini mkuu sijaona sababu hapo ikufanye umuache wasiwasi wako tu.
Nakama unaikumbuka ile methali inayosema "mchagua chagua sana Nazi....... "Utamalizia mkuu.
 
Yangeandikwa na msichana ningeelewa.
Mwanaume ni kuhangaika
 
uchuzi mtupu watu wanasaka ela wew unasala like..bunjuani
 
Baada ya kum##%%%¥¥mba kwa zaidi ya miaka sita sasa ndiyo umegundua hili! Je, uliwahi kumshauri abadilike?

Mungu anakuona ujue, huyo utakayekuja kumpata anaweza kuwa pasua kichwa na unaweza kujuta kumfahamu na ukamkunbuka huyu uliyempa ahadi ya uongo kwamba utamuoa kumbe ulichotaka ni yeye aendelee kukuvulia picchu.

 
Kwa mujibu wa hoja yako nambari moja ni unatangaza hadharani mama yako mzazi aliolewa akiwa na sura mbovu na shapeless [emoji102][emoji101]
Na kama alikua mzuri na shape ya kuvutia basi watu wengi wamemla tofauti na baba yako na inawezekana hata huyo mdingi si wako[emoji102] [emoji101]
 
Jamii ya wanaume kama huyu ndiyo wale kwenye action movies wanaouawa wakati movie haijamalaza robo saa tangu ianze kwa maana ni useless!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…