Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

Wow akhera patamu sana. Umeniongezea ari nifike.
Maana nlpokuwa Kafiri la kikristo hata skupapenda mbinguni Yani kukesha unaimba tu milele na milele inaboa ni Bora nife tu.
Ha ha ha. Kweli kuimba kunaboa sana, ngono tamu sana. Huku duniani inapigwa vita wakati huko akhera muda wote unaojisikia unafanya ngono.
Unaenda kugegeda mabikra 72. Hongera sana shekh. Kule hakuna kuoa, ni kuimba na kusifu tu.
Utafaidi sana mabikra 72, Allah amekuandalia mabikra 72 akhera. wewe ni ngono tu.

Quran 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera

Pia ukisoma Quran 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume

Zaidi ukisoma Quran 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli
 
Inshallah
 
Waafrika mna mambo sana, yaani mnarumbana Kwa sababu ya dini za wazungu na waarabu, mwisho wa yote ni kifo.......
 
Unafanya dhambi kubwa na kumkosea Muumba wako unapompa Yesu binadamu kama Wewe hadhi ya Mungu.

Yani unamuabudu binadamu mwenzio
Yesu alikuwa Nabii kama manabii wengine, na hakuwahi kusema yeye ni Mungu

Kina Paulo na Waroma ndio waliochakachua na kuanza kumuabudu Kama Mungu.
Shirki mbaya sana.
Mungu kamuita Yesu Mungu, katika Zaburi

Kuna ubaya gani mwanangu kumuita Jina langu
 
Mungu kamuita Yesu Mungu, katika Zaburi

Kuna ubaya gani mwanangu kumuita Jina langu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hamisi mambo vipi, umekua adimu sana ndugu yangu.
Tokea tumtimue rafiki yako Baba Ubaya naona umesusa hata kuja kuchungulia kwenye jukwaa letu la mabingwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
True story: Tea time,

Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo.

Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui kwanini lakini Ile sauti ilikuwa ni nzuri sana masikioni na ilinifanya nikawa najisikia amani sana nilalapo.

Mwaka huu mwezi fulan nikiwa nimelala, nikaota ndoto ya ajabu iliyonifaonya nisilimu wiki hiyo. Ndoto yenyewe ilikuwa hivi:

Niliota Mimi na kaka yangu wa Arusha tukitembea maeneo ya mtaani kwetu hapo Tanga. Tukakutana na kundi kubwa la watu wa Kila aina matajiri kwa masikini wakiingia katika ule msikiti jirani.

Pamoja na tofauti zao za kiuchumi lakini wote waliingia ndani katika ule msikiti na kuwa kama kitu kimoja. Hakukuwa na madaraja mule ndani, hakukuwa na mabenchi ila wote waliingia kama watoto wadogo wakijisalimisha kwa Muumba wao. Ni kama vile pesa,vyeo,umaarufu waliviacha nje ya msikiti.

Nikapita jirani nikasikia ndani Quran inasomwa na wote wakistaajabu maajabu ya hiki kitabu kilichoandikwa Karne nyingi zilizopita.

Nikapita kwa pembeni nikielekea zangu nyumbani, ila kwa nje nkakutana na mtu akawa ananialika tuingie kuswali, nikakataa kwa visingizio vingi kama vile Nawahi sehemu,sijui kuswali,siku nyingine nk. Nk.

Lakini yule mtu akanisisitiza na kuniambia kuwa nikiingia Mungu atanitoa gizani na kuniweka kwenye njia ya haki.

Mi nkaondoka lakini nkamuacha kaka angu akiongea na yule mtu. Ndoto ikaishia hapo.

Kaka angu niliokuwa sijawasiliana naye takriban wiki 3 na sikumwambia kuhusu hiyo ndoto,lakini wiki hiyo hiyo nilisikia kuwa kaka angu wa Arusha amesilimu.

Kiukweli nilistaajabu sana na kujiuliza ni nini hiki na maana yake nini?

Baada ya Tafakuri ya mda mrefu niliamua kwenda kwenye huo msikiti labda nitakutana na yule mtu wa ndotoni na hiyo ndiyo ikawa njia iliyonipelekea kurudi kwenye uislam(Kila mtu huzaliwa muislam).

Katika kumtafuta yule mtu Kuna shehe nilimsimulia, akaamua kuchukua jukumu la kunifunza na kunielezea maajabu ya Quran na kiukweli Ile ndoto + maajabu ya Quran ilinifanya nikasilimu. Bado naendelea kujifunza mengi mapya katika hii Imani ya kweli na haki.

Allahu akbar.

PS: Yule mtu Bado sijampata
PS #2: Braza wa Arusha anajua namimi nimesilimu lakini sijamuhadithia kuhusu Ile ndoto.
kila mtu uchagua njia yake ya kupita safari njema sisi tuko kwenye dini ya amani na upendo hatuendeshwi kwa jazba na matisho ni amani kwa kwenda mbele ndio maana kila siku ni furaha.
 
Unafanya dhambi kubwa na kumkosea Muumba wako unapompa Yesu binadamu kama Wewe hadhi ya Mungu.

Yani unamuabudu binadamu mwenzio
Yesu alikuwa Nabii kama manabii wengine, na hakuwahi kusema yeye ni Mungu

Kina Paulo na Waroma ndio waliochakachua na kuanza kumuabudu Kama Mungu.
Shirki mbaya sana.
Siku ukija kuelewa unachosema.. anyway bado Mungu ni mwema
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hamisi mambo vipi, umekua adimu sana ndugu yangu.
Tokea tumtimue rafiki yako Baba Ubaya naona umesusa hata kuja kuchungulia kwenye jukwaa letu la mabingwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo kaka ,kesho nakuja ,maana kesho lazima tuwabonde si chini ya goli 3
 
Unapokuwa umefocus kwenye jambo fulani, ubongo huoanisha matukio kusapoti kile ulichofocus. Huu mfumo huitwa RAS... Ndio mfumo unaochangia watu kuwa wabishi..
Yaani ulivyonegewa na qaswida, ukataka namna yafahamu, ubongo ukakupa sapoti ya kuenda huko. Sio kitu kibaya.

Mungu hutaka watu wawe spiritual. Yaani wakuwe kiroho.
Namna roho yako ilivyodhaifu, ukiota tena utabadili dini.
Acha kutangatanga.
 
Mungu akubariki kwa mawazo mazuri ya kutoka kwenye ukafiri wa giza kuja kwenye mwanga
 
Back
Top Bottom