Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

Huo ni uongo...hakuna sehemu ambapo watu wanalipuka mapepo kama makanisa ya walokole.

Kama huamini Anza kuhudhuria ibaada zao, Kila J2 lazima Kuna lundo la watu wataanguka mapepo.
Ni maigizo tu, ndomana nakwambia ukristo ni agenda ya kipumbavu, kihuni na kiujanjaujanja. Mapepo yanampata yeyote! Hususani huwapata wanawake kwa sababu kadhaa kadhaa tena hiyo ni elimu nyingine haihusiani na udini kabisa!

Ndomana mnashauriwa usafi wanawake na msikurupuke kupata manukato makali hovyo! Ni vivutio vya roho chafu na safi zisizoonekana.
 
Isaya 53 imeeleza vyema,hiyo ilikuwa miala mamia kabla kina paulo hawajazaliwa. hiyo dhambi ya kumkana Yesu ndiyo dhambi yako ya kwanza utakayohukumniwa nayo. Ilikuwa desturi ya Mungu kusamehe au kuondoa dhambi kwa njia ya kumwaga damu, ukifanya dhambi lazima uadhibiwe kifo au la kitu kingine kife badala yako, ndio maana zamani na kwa desturi ya dini ya kiyahudi iliyokuwepo hata kabla muhamad hajazaliwa, walikuwa wanachinja wanyama, yaani kumwaga damu ya wanyama ichukue nafasi ya kumwaga damu ya mtenda dhambi.

sasa, Mungu aliamua kujibadilisha kuvaa mwili wa mwanadamu, akajibadilisha nafsi yake (Mungu ana nafsi na Roho, nafsi maana yake ana hisia, ana weza kujihisi vizuri au vibaya, na roho ni uhai), hivyo ile nafsi ya Mungu ilivaa mwili wa mwanadamu aliyetakiwa kuitwa Yesu, ili aishi kwenye mwili huu huu, ashinde dhambi, ateswe na amwage damu ili yeyote atakayemwamini dhambi zake zisafishwe kwa njia ya yeye. kwa hiyo, Yesu alifanyika mwili (reincanated ) akaka kwetu, na akafanyika kafara la wote, Damu yake iliyomwagika inayo nguvu kufuta dhambi za ulimwengu wote kwa yeyote atakayemwendea. yule asiyemwendea kama wewe utabaki na dhambi zako na ni hasara kwako. kwa sasa hatuna haja ya kuchinja kondoo au mbuzi au ng'ombe ili kuswettle dhambi zetu, imebaki kwa waganga wa kienyeji tu na mashetani ambao bado wanamwaga damu za wanyama, na damu za wanadamu pia kwenye ulimwengu wa mashetani.

Uthibitisho upo, kwamba kafara la Damu ya Yesu lina nguvu na yeyote anayemwendea hata kama alikuwa na maisha ya ajabu kiasi gani, huwa maisha yake yanabadilika na unaona wazi kabisa. kwa njia ya Damu ya Yesu au kwa lugha nyepesi kwako, kwa kafara la Yesu Kristo, Mungu anaweza kukutambua. ukiwa na dhambi Mungu hakutambui na hataki kukuona kwasababu yeye ni msafi, hivyo unahitaji kafara, na kafala lililopo sasaivi ni la Damu ya Yesu tu ndilo lilafuta dhambi na unakuwa safi kabisa (damu za wanyama hazikufuta, zilikuwa zinafunika tu).

Matendo 4:12 Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.

kwa hiyo, hata Mohamad, kwasababu alizaliwa baadaye kabisa baada ya Yesu kuja, na hakumwamini Yesu akaja na story zake za ajabu ajabu zilizodanganya watu kiasi hichi, yeye pia atahukumiwa na Yesu Kristo, wewe pia utahukumiwa naye na ninyi nyoote msiomwamini Mwana wa Mungu. tunasema ni Mwana wa Mungu kwasababu alifanyika mwili ili azaliwe kwa njia ya mwanadamu, pamoja na kwamba alikuwepo tangu awali naye ndiye Mungu yule yule. uamini au usiamini hili, ukweli ndio huo na ndio utakaokuja kukuhukumu.
 
hilo jibu unalo mwenyewe, ila kwa lugha nyepesi ningesema, uislam sio imani sahini ya kumwona Mungu, na hamtamwona Mungu kamwe.
 
Hongera kwa kuongeza idadi ya bikira kule kwa Allah.
 
Ngonjera nyingi pweinti sifuri.
Wapi apo imeonesha kuwa Yesu ni Mungu? Weka basi ushaahidi
 
Tumsifu Yesu Kristu! Kama nilivyosema hapo awali. Mimi nitabakia daima kwenye imani yangu. Na kamwe siwezi kushawishika na imani ya watu wengine wa Mataifa.
Hivi kumbe Yesu Imani yake ni ukristo nilikuwa sijui
 
Ngonjera nyingi pweinti sifuri.
Wapi apo imeonesha kuwa Yesu ni Mungu? Weka basi ushaahidi
kwetu sisi tunaoamini Kristo Yesu, (najua wewe haukuwa mkristo, ni dini ile ila umeleta tu mada ili kujaribu kuvuta watu waingie kwenye dini yako, ndio maana haujui maandiko, mkristo yeyote anajua ni kwanini Yesu anaitwa Mungu, ), chukua tu mfano,

Yohana 1:1 inasema, Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu, huyo mwanzo alikuwa kwa Mungu, vyote vilifanyika kwa huyo, wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.

ndani yake ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu, nayo nuru yang'aa gizani wala giza halikuiweza. palitokea mtu ametumwa kutoka kwa Mungu, Jina lake Yohana, huyo alikuja kwa ushuhuda ili aishuhudie ile nuru wote wapate kuamini kwa yeye. huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. kulikuwa na nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika umwengu. alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. alikuja kwake wala walio wake hawakumtambua. bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika kuwa watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio Jina lake.waliozaliwa si kwa damu wala si kwa mapenzi ay mwili wala si kwa mapenzi ay mtu bali kwa Mungu. naye Neno alifanyika mwili akakaa kwetu nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli. ...kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa , neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.

yapo mengi yameandikwa pale, nenda kasome. ili ukawafundishe na wenzako huko.
 
Yesu alikuwa muislam
uislam ulikuja baada ya miaka mingi ya Yesu, sasa alikuwaje muislam? fafanua. wakati Yesu yupo duniani kimwili, uislam ulikuwa haujazaliwa na mohamed alikuwa hajazaliwa. imani iliyokuwepo ilikuwa ya kiyahudi, although masalia yaliyokuja kuzaa uislam kiukweli yalikuwepo middle east, imani za Baal mungu asiye na nguvu mbele ya Mungu wa Israel, huyu ndiye wayahudi walipambana naye sana tangu enzi. imani hii iliaminiwa sana na watu wa Gaza (ya sasa), wakaanani na wengine wa middle east. baadaye ndio ilikuja kuzaa uislam, na ni imani potofu ya mashetani.
 
Umenena vema. Na huo ndio ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…