Hii ndoto Mbana mbaya sana, Nimeota nakatwa kichwa yaani nachinjwa

Hii ndoto Mbana mbaya sana, Nimeota nakatwa kichwa yaani nachinjwa

Ishu hapo nenda kwa mganga wa kienyeji,
Unajua kwanini ,kuna kitu utapoteza muda si mrefu ,iwe kazi ,pesa na vingine vingi vitakavyokupa pigo.now jitahidi kuomba Mungu au uende Kwa mtaalamu akuombee Mungu.

Hii Dunia ni ya kwetu wote but ni wachache wanaijua
 
Ndoto haziwi vile zilivyo.. hazimaanishi yale yaliyotokea (Ndoto nyingi zipo hivyo)
 
Jana usiku kabla ya saa kumi Yani saa tisa na dakika Nimeota nakatwa shingo kama kuku

Tena damu kibao hii Ina maana Gani wataalamu
Kuna Jamaa Yangu kafiwa na Mke wake last moth, amenihadithia tukio lilivyokua nikaogopa Sana. Kwa kifupi, Mke wake aliona kifo chake Mwanzo mwisho Kwa mfumo wa ndoto ila jamaa akapuuzia.

Matukio yalivyoanza kujitokeza prior to her departure ndio Jamaa akastuka. It was too late. Inatisha, Sana Sana
 
Njoo somalia Alshabaab tutakutafsiria
 
Ndoto ya Weza kuwa:
Taarifa
Maelekezo.
Onyo.
Amri juu ya yanayozalishwa na yatakayo kutokea.
 
Jana usiku kabla ya saa kumi Yani saa tisa na dakika Nimeota nakatwa shingo kama kuku

Tena damu kibao hii Ina maana Gani wataalamu
🤣🤣🤣 dah aiseee kunamke wa jambaz utakuwa unatembea nae ebu acha iyo tabia kama ndoto itatokea tena
 
Kama unaweza kukumbuka ulivyo kuwa una tapa tapa wakati unachinjwa basi jiandae kama bado ni jobless basi omba moyo wa uvumilivu.
 
Back
Top Bottom