Hii ngoma mpya Zuwena ya Diamond Platnumz amedhihiridha kuwa bado yupo na utamu wake hajaisha kama tunavyodhania

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
WagwaNiiiiiii

Ebhna simba mwenyewe chibu deee aka baba zuchu hiki kichupa alichoachia katuonesha kuwa bado ana uwezo wa kuendelea kutawala mziki wa bongo kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa anataka kuwarudisha fanbase yake iliyoondoka baada ya kuona anaimba ngololo ngololo hii kichupa cha Zuwena ni kikali sana huyu jamaa kwenye video ameshindikana na hii idea ya nyimbo ni kaLi hakuna aliedhania atakuja na idea hii mimi nilijua hii Zuwena kamuimbia demu wake Zuchu kumbe wala aisee Simba unatisha baba [emoji119][emoji119]
 
Hamna kitu mnaacha kuwapa support wasanii wazuri kama marioo na konde boy mnasifia ujinga tu hapa kuanzia yatapita na hii sijui suwena hamna kitu marioo kamuacha mbali kwa utunzi na uimbaji sema bongo wanapenda ujinga tu ndio maana mwinjaku na baba levo wameenda bungeni.
 
Wivu tu, angalia usije ukanjinyea hapo ulipo.
 
sasa mzee na ww si ufungue uzi wako uwasifie hao wasanii wako utopolo
 
Kwamba Yatapita na sasa hii Zuwena kaimba utumbo tu? [emoji23]

Mkuu jaribu kuficha chuki zako utaitwa mchawi.
 
sasa mzee na ww si ufungue uzi wako uwasifie hao wasanii wako utopolo
Ujinga ujinga tu mtu anaimba chitaki chitaki na watu wanasema bonge la ngoma sasa hapa tukibashana tutakesha ila diamond kaisha toka 2018 pale ndio ilikuwa peak ya diamond baada ya pale ni utumbo nenda kasikilize album ya THE KID YOU KNOW kutoka kwa marioo halafu urudi hapa kazi kuendekeza ujinga halafu mnadai vyakula vimepanda na mnadai katiba mpya.
 
Kwamba Yatapita na sasa hii Zuwena kaimba utumbo tu? [emoji23]

Mkuu jaribu kuficha chuki zako utaitwa mchawi.
Hujaona nyimbo mzee ww hakuna kitu ni professional rubbish [emoji1787][emoji1787]
 
Ongea ukweli hata kama unamchukia mtu acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…