Hii ngoma mpya Zuwena ya Diamond Platnumz amedhihiridha kuwa bado yupo na utamu wake hajaisha kama tunavyodhania

Hii ngoma mpya Zuwena ya Diamond Platnumz amedhihiridha kuwa bado yupo na utamu wake hajaisha kama tunavyodhania

Hamna kitu mnaacha kuwapa support wasanii wazuri kama marioo na konde boy mnasifia ujinga tu hapa kuanzia yatapita na hii sijui suwena hamna kitu marioo kamuacha mbali kwa utunzi na uimbaji sema bongo wanapenda ujinga tu ndio maana mwinjaku na baba levo wameenda bungeni.
Sasa mbona umepaniki wewe Marioo? Au upo na Konde Boy hapo mmepampiana
 
Huu ni mwaka wa 13 diamond anashindanishwaga na malofa kibao, yeye wala Hana papara

Mmefikia hatua ya kuita wengine malofa tena[emoji38][emoji38],wanaoweza kuwatunza vizuri hata kuliko huyo boss hapo dabliusibii!!!
 
Diamond hakutolewa na Ruge, unaongea vitu usivyovijua. Ruge was my close friend tokea utotoni najua kwa karibu kila alichokifanya katika sanaa ya TZ na si kutegemea hearsay stories za mitaani, bora useme Papa Misifa.
Turudi kwenye mada wewe msukule wa Kimakonde, kuimba 'nakutoo...' au 'amelowa' au 'bia tamu' au ku-glamorize uvutaji wa bangi ndiyo vitu vya maana katika jamii?

Kama una umri wa ruge acha kubishana kuhusu mond na harmonize[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom