Hii ngoma mpya Zuwena ya Diamond Platnumz amedhihiridha kuwa bado yupo na utamu wake hajaisha kama tunavyodhania

Hii ngoma mpya Zuwena ya Diamond Platnumz amedhihiridha kuwa bado yupo na utamu wake hajaisha kama tunavyodhania

Na wewe kweli ni tutusa. Ile ilikuwa imagination.... Aliwaza nikienda kuiba pale nitapigwa risasi nitakufa, akaachana na lile wazo.
Kilaza huyo. unahangaika kumtafsiria vitu vinavyoeleweka
 
Kuendelea kujibishana na mpuuzi kama ww upumbavu, unamchukia mtu bila sababu za msingi!! Au alikufira?
You need to see the psychologist

The 20/80 state that about more than 80% of the upset is from the past events and 20% is currently involved it seems you have psychological problems there is no need to insult someone because of the nonsense like this go and see the psychologist I'm out.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
ulichokisifia na nilichokiona ni vitu viwili tofauti.. bongo bhana kwa kupaishaga mambo hamjambo binafsi nimeitazama na nimegundua video ya kawaida sana sijaona maajabu hapo ni jina lake tu ndio linambeba.. mwisho wa kunukuu
Na mm nmesoma nukuu yako nakuuliza aliesema hivo ni nani ...? Au umenukuu kutoka kwa nani...?
 
Kweli akili zako zipo huko nyuma kuna wasanii wanatukana kushinda wcb kwa hyo hzo nyimbo ndio umeona matusi bila clouds huyo domo angemjua nani bila ruge angekuwa tandale huko ana ban CD bongo hii hakuna msanii ambaye ametoka bila promo ya clouds na ruge ndio alikuwa msimamizi unachobisha we nn nyimbo ya kwanza ya diamond na zilizofuata ilikuwa unasikiliza kupitia redio gani?
Promo yote ile aliyokuwa anapewa na kipindi wanatoka walikuwa na kina belle 9 Sam wa ukweli na barnaba ila bingo ikadondoka Kwake mpaka wenzake wakawa wanalalamika

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Bro wewe kweli hujui kitu ni chuki tu,unataka kuaminisha watu diamond katoka na barnaba? Na unavyo sema Amna msanii katoka bila Ruge huyo harmonize katolewa na Ruge?
 
Mie ni hater kindaki ndaki wa Domokayaa, ila hii ngoma "Yatapita"
Ameuaaa mnoooo, hadi nahisi kaimba ili ani provoke mie.

Na ninakiri wimbo uko kwa playlist na nasikiliza mda wotee. Domokayaa amenikomeshaaaa mwaka huu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo wa Zuwena sio shida zangu.
 
Ujinga ujinga tu mtu anaimba chitaki chitaki na watu wanasema bonge la ngoma sasa hapa tukibashana tutakesha ila diamond kaisha toka 2018 pale ndio ilikuwa peak ya diamond baada ya pale ni utumbo nenda kasikilize album ya THE KID YOU KNOW kutoka kwa marioo halafu urudi hapa kazi kuendekeza ujinga halafu mnadai vyakula vimepanda na mnadai katiba mpya.
Eti the Kid You Know ya Marioo,hamna kitu ni mashuzi tu
 
Mie ni hater kindaki ndaki wa Domokayaa, ila hii ngoma "Yatapita"
Ameuaaa mnoooo, hadi nahisi kaimba ili ani provoke mie.

Na ninakiri wimbo uko kwa playlist na nasikiliza mda wotee. Domokayaa amenikomeshaaaa mwaka huu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo wa Zuwena sio shida zangu.
Mimi kwenye Zuwena bhana , wale wahuni waliombeba Zuwena mtu nne kwenye boda kwenda kumpiga mtungo mi full kucheka yaan , walivyofumaniwa na jinsi walivyoruka ukuta , Ivan Kaua Sana ..... 😁
 
[emoji1787]
Vijana hamuwezi kuchangia kitu bila hoja yaani kizazi kijacho kitakuwa cha ajabu sana vijana hawajui kujielezea wao ni kutukana mda wote yaani mtu anataka katiba mpya ukimuuliza anasema mda umefika hana hoja yoyote ya msingi mimi nimetoa hoja bila matusi na wewe toa hoja bila matusi kwani lazima kila mtu amuelewe diamond nisipomuelewa kuna kosa ajabu vijana kama nyinyi mnaporomosha matusi tu kuanzia asubuh mpaka jioni nani aliwaroga.
 
Eti the Kid You Know ya Marioo,hamna kitu ni mashuzi tu
Chitaki chitaki chitaki chitaki hit song hiyo ya msanii mkubwa Africa kama mwinjaku na baba la levo wameenda bungeni inaonyosha Tanzania tuna watu wa iana gani na viongozi wa aina gani wanapenda ujinga ujinga tu.
 
Noma
Mimi kwenye Zuwena bhana , wale wahuni waliombeba Zuwena mtu nne kwenye boda kwenda kumpiga mtungo mi full kucheka yaan , walivyofumaniwa na jinsi walivyoruka ukuta , Ivan Kaua Sana ..... [emoji16]
 
Vijana hamuwezi kuchangia kitu bila hoja yaani kizazi kijacho kitakuwa cha ajabu sana vijana hawajui kujielezea wao ni kutukana mda wote yaani mtu anataka katiba mpya ukimuuliza anasema mda umefika hana hoja yoyote ya msingi mimi nimetoa hoja bila matusi na wewe toa hoja bila matusi kwani lazima kila mtu amuelewe diamond nisipomuelewa kuna kosa ajabu vijana kama nyinyi mnaporomosha matusi tu kuanzia asubuh mpaka jioni nani aliwaroga.
Wabongo wengi tuna stress mkuu yaani watu wengne unaweza ukawa hujamfanyia chochote akaamua kukutukana tu ilimradi
 
Nadhani nimeanza kuzeeka sasa napitwa na wakati

Nimeusikiliza zaidi ya mara 20 ofkozi ni wimbo mzuri......... lakini sioni maajabu yoyote yanayosifiwa hapa
 
Back
Top Bottom