Hii ngoma mpya Zuwena ya Diamond Platnumz amedhihiridha kuwa bado yupo na utamu wake hajaisha kama tunavyodhania

WagwaNiiiiiii
Ebhna simba mwenyewe chibu deee aka baba zuchu hiki kichupa alichoachia katuonesha kuwa bado ana uwezo wa kuendelea kutawala mziki wa bongo kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa anataka kuwarudisha fanbase yake iliyoondoka baada ya kuona anaimba ngololo ngololo hii kichupa cha Zuwena ni kikali sana huyu jamaa kwenye video ameshindikana na hii idea ya nyimbo ni kaLi hakuna aliedhania atakuja na idea hii mimi nilijua hii Zuwena kamuimbia demu wake Zuchu kumbe wala aisee Simba unatisha baba [emoji119][emoji119]
ulichokisifia na nilichokiona ni vitu viwili tofauti.. bongo bhana kwa kupaishaga mambo hamjambo binafsi nimeitazama na nimegundua video ya kawaida sana sijaona maajabu hapo ni jina lake tu ndio linambeba.. mwisho wa kunukuu
 
bongo wanapenda ujinga tu ndio maana mwinjaku na baba levo wameenda bungeni.
😀 😀 😀 😀wale ni waasisi wa Uchawa, walienda kwa kuzingatia wadhifa wao mkuu wa kuwa machawa wabobezi.

Ile mijamaa hata ukitaka watu wa kuja kulia msibani kwako wanakuja na chozi wanamwaga bila hata kumjua marehemu.
 
ulichokisifia na nilichokiona ni vitu viwili tofauti.. bongo bhana kwa kupaishaga mambo hamjambo binafsi nimeitazama na nimegundua video ya kawaida sana sijaona maajabu hapo ni jina lake tu ndio linambeba.. mwisho wa kunukuu
So wengine majina yao ndio yana waangusha.

Manake kama ndio hivyo video zake zote zingekuwa zinagonga 1m per day.

Kuna video za FOA hazijavuka hata 5m.
 
ulichokisifia na nilichokiona ni vitu viwili tofauti.. bongo bhana kwa kupaishaga mambo hamjambo binafsi nimeitazama na nimegundua video ya kawaida sana sijaona maajabu hapo ni jina lake tu ndio linambeba.. mwisho wa kunukuu
Washafanywa misekule hao kila kitu wanapiga makofi kama wabunge wa ccm vile

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Diamond hakutolewa na Ruge, unaongea vitu usivyovijua. Ruge was my close friend tokea utotoni najua kwa karibu kila alichokifanya katika sanaa ya TZ na si kutegemea hearsay stories za mitaani, bora useme Papa Misifa.
Turudi kwenye mada wewe msukule wa Kimakonde, kuimba 'nakutoo...' au 'amelowa' au 'bia tamu' au ku-glamorize uvutaji wa bangi ndiyo vitu vya maana katika jamii?
Kweli akili zako zipo huko nyuma kuna wasanii wanatukana kushinda wcb kwa hyo hzo nyimbo ndio umeona matusi bila clouds huyo domo angemjua nani bila ruge angekuwa tandale huko ana ban CD bongo hii hakuna msanii ambaye ametoka bila promo ya clouds na ruge ndio alikuwa msimamizi unachobisha we nn nyimbo ya kwanza ya diamond na zilizofuata ilikuwa unasikiliza kupitia redio gani?
Promo yote ile aliyokuwa anapewa na kipindi wanatoka walikuwa na kina belle 9 Sam wa ukweli na barnaba ila bingo ikadondoka Kwake mpaka wenzake wakawa wanalalamika

Ruge concentration yake ilikuwa ni wasanii wa THD, use your brain kid. Je hao wasanii aliowapa nguvu zake zote(here I mean THT artists) leo wako wapi na Diamond yuko wapi.
Alitumia nguvu nyingi kumpoteza kwenye game na Clouds wakaacha kupiga nyimbo zake na pia aka-influence mainstream media nyingine zote zisipige nyimbo zake(na nyimbo za wasanii wa label yake - hii ni baada ya kuanzisha record label) na akashindwa, akatumia nguvu kum-boost Kiba ili ampiku Diamond akiamini hiyo ndiyo ingemshusha Diamond lakini kitenesi kikadunda ukuta.
Kufika alipofika na ku-maintain hapo ni kipaji, akili, juhudi, maarifa pamoja na kuwa msikivu kwa management team yake, it's ridiculously stupid to give credit to those who don't deserve it.
 
Hayo ni baadae kwani kuachana si kawaida ila bila ruge angekuwa anaokota makopo tandale moyoni mwake anajua hilo yeye kina rayvanny na harmonize na rich mavoko wote wameondoka kwa ajili ya maslahi tu ila unaondokaje ndio tatizo na hao wasanii wake wote sasa hivi wamerudi clouds baada ya kuachana unadhani ni wajinga kurudi clouds kaa na ujinga wako hivyo nna mambo mengi ya kufanya kuliko kumeelewesha msekule uliokatwa ulimi.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
WagwaNiiiiiii
Ebhna simba mwenyewe chibu deee aka baba zuchu hiki kichupa alichoachia katuonesha kuwa bado ana uwezo wa kuendelea kutawala mziki wa bongo kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa anataka kuwarudisha fanbase yake iliyoondoka baada ya kuona anaimba ngololo ngololo hii kichupa cha Zuwena ni kikali sana huyu jamaa kwenye video ameshindikana na hii idea ya nyimbo ni kaLi hakuna aliedhania atakuja na idea hii mimi nilijua hii Zuwena kamuimbia demu wake Zuchu kumbe wala aisee Simba unatisha baba [emoji119][emoji119]
Yutubu mbona Awawajui??
 
Attachments

  • DE4A460F-7096-4C0D-A1E6-90FF41CB9E35.png
    DE4A460F-7096-4C0D-A1E6-90FF41CB9E35.png
    252.1 KB · Views: 4
  • B46F1ADC-B06D-42AE-BDF6-CA6410CADB20.png
    B46F1ADC-B06D-42AE-BDF6-CA6410CADB20.png
    252.1 KB · Views: 4
ila kiukweli kama simba ndo anaongoza A list ya wasanii wetu, bado tuna safari ndefu sana, nafikiri ni kama amerudi nyuma kulinganisha na alipokuwa, sijui tunafeli wapi, simba wa leo hawezi kushindana hata na rema kiukweli
 
Hamna kitu mnaacha kuwapa support wasanii wazuri kama marioo na konde boy mnasifia ujinga tu hapa kuanzia yatapita na hii sijui suwena hamna kitu marioo kamuacha mbali kwa utunzi na uimbaji sema bongo wanapenda ujinga tu ndio maana mwinjaku na baba levo wameenda bungeni.

Acha kupanic brazaa
 
Ujinga ujinga tu mtu anaimba chitaki chitaki na watu wanasema bonge la ngoma sasa hapa tukibashana tutakesha ila diamond kaisha toka 2018 pale ndio ilikuwa peak ya diamond baada ya pale ni utumbo nenda kasikilize album ya THE KID YOU KNOW kutoka kwa marioo halafu urudi hapa kazi kuendekeza ujinga halafu mnadai vyakula vimepanda na mnadai katiba mpya.
wemkunduguyetu inawezekana unaviashilia vya uchawi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni baadae kwani kuachana si kawaida ila bila ruge angekuwa anaokota makopo tandale moyoni mwake anajua hilo yeye kina rayvanny na harmonize na rich mavoko wote wameondoka kwa ajili ya maslahi tu ila unaondokaje ndio tatizo na hao wasanii wake wote sasa hivi wamerudi clouds baada ya kuachana unadhani ni wajinga kurudi clouds kaa na ujinga wako hivyo nna mambo mengi ya kufanya kuliko kumeelewesha msekule uliokatwa ulimi.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hakuna msanii yoyote aliyerudi Clouds, kwa taarifa yako kwa sasa hivi mainstream media si issue sana kama ilivyo social media( kwa influence) na digital platforms(kwa kipato), Harmo yuko E-Tv na EFM Radio na Vanny boy haja-base kokote kwani Clouds anafanya nao kwa contract na Wasafi pia anafanya nao kazi.
Sasa hivi Clouds nguvu yao ni ndogo kwenye music industry, Wasafi wana nguvu zaidi yao ndiyo maana hata wasanii wao wanakitawala kiwanda cha muziki. Numbers zao zinadhihirisha hilo.
 
Hamna kitu mnaacha kuwapa support wasanii wazuri kama marioo na konde boy mnasifia ujinga tu hapa kuanzia yatapita na hii sijui suwena hamna kitu marioo kamuacha mbali kwa utunzi na uimbaji sema bongo wanapenda ujinga tu ndio maana mwinjaku na baba levo wameenda bungeni.
Maria ana utunzi gani sasa? Labda una matatizo nae binafs..
 
Back
Top Bottom