Ruge concentration yake ilikuwa ni wasanii wa THD, use your brain kid. Je hao wasanii aliowapa nguvu zake zote(here I mean THT artists) leo wako wapi na Diamond yuko wapi.
Alitumia nguvu nyingi kumpoteza kwenye game na Clouds wakaacha kupiga nyimbo zake na pia aka-influence mainstream media nyingine zote zisipige nyimbo zake(na nyimbo za wasanii wa label yake - hii ni baada ya kuanzisha record label) na akashindwa, akatumia nguvu kum-boost Kiba ili ampiku Diamond akiamini hiyo ndiyo ingemshusha Diamond lakini kitenesi kikadunda ukuta.
Kufika alipofika na ku-maintain hapo ni kipaji, akili, juhudi, maarifa pamoja na kuwa msikivu kwa management team yake, it's ridiculously stupid to give credit to those who don't deserve it.