Hii ngoma mpya Zuwena ya Diamond Platnumz amedhihiridha kuwa bado yupo na utamu wake hajaisha kama tunavyodhania

Na wewe kweli ni tutusa. Ile ilikuwa imagination.... Aliwaza nikienda kuiba pale nitapigwa risasi nitakufa, akaachana na lile wazo.
Kilaza huyo. unahangaika kumtafsiria vitu vinavyoeleweka
 
Kuendelea kujibishana na mpuuzi kama ww upumbavu, unamchukia mtu bila sababu za msingi!! Au alikufira?
You need to see the psychologist

The 20/80 state that about more than 80% of the upset is from the past events and 20% is currently involved it seems you have psychological problems there is no need to insult someone because of the nonsense like this go and see the psychologist I'm out.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
ulichokisifia na nilichokiona ni vitu viwili tofauti.. bongo bhana kwa kupaishaga mambo hamjambo binafsi nimeitazama na nimegundua video ya kawaida sana sijaona maajabu hapo ni jina lake tu ndio linambeba.. mwisho wa kunukuu
Na mm nmesoma nukuu yako nakuuliza aliesema hivo ni nani ...? Au umenukuu kutoka kwa nani...?
 
Bro wewe kweli hujui kitu ni chuki tu,unataka kuaminisha watu diamond katoka na barnaba? Na unavyo sema Amna msanii katoka bila Ruge huyo harmonize katolewa na Ruge?
 
Mie ni hater kindaki ndaki wa Domokayaa, ila hii ngoma "Yatapita"
Ameuaaa mnoooo, hadi nahisi kaimba ili ani provoke mie.

Na ninakiri wimbo uko kwa playlist na nasikiliza mda wotee. Domokayaa amenikomeshaaaa mwaka huu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo wa Zuwena sio shida zangu.
 
Eti the Kid You Know ya Marioo,hamna kitu ni mashuzi tu
 
Mimi kwenye Zuwena bhana , wale wahuni waliombeba Zuwena mtu nne kwenye boda kwenda kumpiga mtungo mi full kucheka yaan , walivyofumaniwa na jinsi walivyoruka ukuta , Ivan Kaua Sana ..... 😁
 
[emoji1787]
Vijana hamuwezi kuchangia kitu bila hoja yaani kizazi kijacho kitakuwa cha ajabu sana vijana hawajui kujielezea wao ni kutukana mda wote yaani mtu anataka katiba mpya ukimuuliza anasema mda umefika hana hoja yoyote ya msingi mimi nimetoa hoja bila matusi na wewe toa hoja bila matusi kwani lazima kila mtu amuelewe diamond nisipomuelewa kuna kosa ajabu vijana kama nyinyi mnaporomosha matusi tu kuanzia asubuh mpaka jioni nani aliwaroga.
 
Eti the Kid You Know ya Marioo,hamna kitu ni mashuzi tu
Chitaki chitaki chitaki chitaki hit song hiyo ya msanii mkubwa Africa kama mwinjaku na baba la levo wameenda bungeni inaonyosha Tanzania tuna watu wa iana gani na viongozi wa aina gani wanapenda ujinga ujinga tu.
 
Noma
Mimi kwenye Zuwena bhana , wale wahuni waliombeba Zuwena mtu nne kwenye boda kwenda kumpiga mtungo mi full kucheka yaan , walivyofumaniwa na jinsi walivyoruka ukuta , Ivan Kaua Sana ..... [emoji16]
 
Wabongo wengi tuna stress mkuu yaani watu wengne unaweza ukawa hujamfanyia chochote akaamua kukutukana tu ilimradi
 
Nadhani nimeanza kuzeeka sasa napitwa na wakati

Nimeusikiliza zaidi ya mara 20 ofkozi ni wimbo mzuri......... lakini sioni maajabu yoyote yanayosifiwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…