Diamond hakutolewa na Ruge, unaongea vitu usivyovijua. Ruge was my close friend tokea utotoni najua kwa karibu kila alichokifanya katika sanaa ya TZ na si kutegemea hearsay stories za mitaani, bora useme Papa Misifa.
Turudi kwenye mada wewe msukule wa Kimakonde, kuimba 'nakutoo...' au 'amelowa' au 'bia tamu' au ku-glamorize uvutaji wa bangi ndiyo vitu vya maana katika jamii?