Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Utakuwa umempa swali huyo mbowe hawezi kulijibu muombe Watanzania wa5 tu anaowajua wana Corona Kwa mwezi huu wa 6 ulioisha mpaka leoNipe majina ya watu wote wanaotaabika na Corona Tanzania unaowaongelea hapa.
Labda babu yako ndio kajifungia, watu wanapiga kazi km kawa.Niliwaambia wakenya huu mwaka huu lazima mtii. Sasa mnajifungia na korona inazidi kwenu nchi yenu inazidi kudidimia kuelekea lower income wakati sisi licha ya korona tunazidi kupaa
Nipe majina ya watu wote wanaotaabika na Corona Tanzania unaowaongelea hapa.
Endeleeni tu kujifungia. Sisi tumeanza kufunga wadi zilizotumika kwa corona.Mliojichokea kwenye hii safari na kuacha watu wenu wajihangaikie wenyewe huko kwenye mitaa ya mabanda mnatakiwa mfahamu hiki kitu kinazidi kuwa hatari, Afrika Kusini namba zinapandisha balaa, karibu elfu kumi kwa sik
Hakuna korona Tanzania shule zimeshafunguliwa hakuna mwanafunzi aliyefariki au kuwa na korona, vyuo hivyohivyo mtaani watu tunaendelea kujenga nchi hakuna korona Tanzania.Vigumu kupata majina yao maana kwenu huko nchi kubwa halafu media zenu huwa zimeminywa, moja ikijitokeza kuanza kueleza eleza watapigwa ban. Mataifa ya kijamaa huwa shida sana na matatizo wanaypitia kule Korea Kaskazini.
Watanzania wenye uwezo wa kuingia kwenye mitandao wanaeleza wanateseka, ila mamilioni wanaumia kimya kimya.
Soma huu uzi hapa wa baadhi ya wale wenye access ya mitandao, kidogo wana unafuu wa kueleza Tathmini ya uwepo wa Corona Tanzania
[emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]aiseh nimechekaHii covid 19 ilikuwa ni mtego mdogo sana,JPM alishtuka mapema sana kwamba kadri unavyopima ndivyo unazidi kuwapa watu ugonjwa...yaani ukipimwa tu,unao..!!
Vipi kuhusu wale waandishi wenu mushawakomboa ? Hii ndio Tanzania sio KE mukijifanya mmepinda mutanyooshwa haswaa.Vigumu kupata majina yao maana kwenu huko nchi kubwa halafu media zenu huwa zimeminywa, moja ikijitokeza kuanza kueleza eleza watapigwa ban. Mataifa ya kijamaa huwa shida sana na matatizo wanaypitia kule Korea Kaskazini.
Watanzania wenye uwezo wa kuingia kwenye mitandao wanaeleza wanateseka, ila mamilioni wanaumia kimya kimya.
Soma huu uzi hapa wa baadhi ya wale wenye access ya mitandao, kidogo wana unafuu wa kueleza Tathmini ya uwepo wa Corona Tanzania
Vigumu kupata majina yao maana kwenu huko nchi kubwa halafu media zenu huwa zimeminywa, moja ikijitokeza kuanza kueleza eleza watapigwa ban. Mataifa ya kijamaa huwa shida sana na matatizo wanaypitia kule Korea Kaskazini.
Watanzania wenye uwezo wa kuingia kwenye mitandao wanaeleza wanateseka, ila mamilioni wanaumia kimya kimya.
Soma huu uzi hapa wa baadhi ya wale wenye access ya mitandao, kidogo wana unafuu wa kueleza Tathmini ya uwepo wa Corona Tanzania
Mamillion wanaumia kimya kimya, kweli noma. So unafikiri ni jambo rahisi watu mamillion kuumwa alafu ifichike.
Kukupunguzia mzigo, nipe watu wawili unaowajua wanaumwa corona Tanzania na Address zao.
Hunatofauti na WHO, na Wapinzani hapa Nchini.
Mamillion watapukutika
Makumi elfu ya wagonjwa
Maelfu ya wananchi
Alafu unakuta hata wewe mwenyewe unayeongea hauvai barakoa, wala kunawa wala kukaa mbali na mikusanyiko (narefer opposition na WHO wenyewe, pamoja na nyie wakenya).
Kingine serikali imeplay part yake now ni part yenu kutumia akili zenu, maana mnaown decisions juu yenu wenyewe, ukiamua kunawa, kuvaa barakoa, kukaa mbali umeachiwa maelezo.
TELEKEZA WENYEWE.
Angalia jinsi unavyoongea hii ni July lakini unaconstruct sentensi zako kama vile tuko April wakati wa outbreak ya Covid-19.Tatizo ni pale mlifanya kuumwa corona kuwa aibu fulani hivi, hii itafanya mamilioni wafiche iwe ndani kwa ndani. Uzuri ni kwamba sio kila mtu anadhoofishwa na corona, hivyo wengi watakatiza mtaani wakikohoa kawaida bila kujali.
Pitia kwenye nyuzi za Watanzania wanaotangaza kushuhudia corona, maana mumeifanya aibu, hivyo wanaitangaza kwenye mitandao kama wamejificha, la sivyo wangeiweka wazi kitaani mngewashukia.
Angalia jinsi unavyoongea hii ni July lakini unaconstruct sentensi zako kama vile tuko April wakati wa outbreak ya Covid-19.
Chapeni kazi wakenya hizo predictions zenu kuwa waBongo watakuja kufa kama nzi barabarani kamwe haitatokea. Ndio kuna baadhi ya watu wachache wataathirika na hata kupoteza maisha lakini idadi yake haitazidi ile idadi ya waKenya wanaouwawa na Police ktk ku enforce lockdown au wale wanakufa kwa njaa kwa sababu ya lockdown...
Amkeni wakenya kujifungia ndani na kutegemea loans na humanitarian aids pekee will never take Covid-19 away...
They have succeeded to plant fear in your heads, the next steps will be worse kwa sababu mmekubaki kujihumiliate yourselves.....l
Unajifanya kichwa maji. Wakenya wenzako wanalia. Siasa mbovu zinawapeleka shimoni, hakuna pa kujificha.Yaani nafuu hiyo April maana sasa ndio corona imezagaa kupita maelezo, nyie mlijichokea mapema kisa umaskini na kuwaacha watu wateseke wenyewe kimya kimya nakuifanya corona kama aibu fulani. Sasa hivi kwenu mtu kuumwa corona inabidi ajifiche sana.
Baby MamboLabda babu yako ndio kajifungia, watu wanapiga kazi km kawa.
Wanjohi anakudanganyaYaani nafuu hiyo April maana sasa ndio corona imezagaa kupita maelezo, nyie mlijichokea mapema kisa umaskini na kuwaacha watu wateseke wenyewe kimya kimya nakuifanya corona kama aibu fulani. Sasa hivi kwenu mtu kuumwa corona inabidi ajifiche sana.
Kuna kipindi humu ndani walikataza matumizi ya bangi mbichi na majani yakeTunamshukuru Rais wetu ametuondolea corona.
Anakili Sana vijiweni hukoHahahaha munaongea kama vile mna uhakika. Mzee lini utakiri Tz tumeweza kutoka kwenye ushenzi wa corona japo ipo?
Punguza ukurupukaji