Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Urussi wameishutumu Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin nguli wa siasa za kijamaa ambaye ndiye anayeaminika kuchochea vita vya Ukraine, huyu mwamba kama humjui alishawahi kutamka Ukraine inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia ,USA wamempiga ban ya kuingia mataifa ya ulaya na US wanamwona kama gaidi.
Kama nilivyosema mwanzon huu mpango ulikua wakummaliza huyu mwamba, ambaye ndiye mwasisi wa taifa la Russia na usichojua yeye ndiye aliyetunga jina la Russia, huyu mwamba ana ushawishi sana kwa Putin kiasi cha kutungiwa jina la utan "brain of Putin ".
Kwa maono yangu nahisi ni mapema sana kudai Ukraine wamehusika, inaweza ikawa propaganda, ila nachoamini KGB ndio wahusika.
Nasema hivi kwa sababu huyu binti alikua na mahusiano na jamaa mmoja kutoka nchini Estonia ambaye kiuhalisia ni Ukraine na ni afisa wa ngazi za juu za usalama wa taifa la Ukraine.
Hivyo kuna mpango ulipangwa wa kumtumia binti kama chambo, kumwekea either simu ya hewa, ambayo itamu attack na dingi yake, lengo dingi akionana na Putin amwambukize, ni vita vya kibailogia.
KGB walipogundua hilo wakamzima sasa, wanajua kabisa hata wakisema Ukraine anahusika itawachanganya watu, ndio maana ya neno PROPAGANDA.