Hii nguvu anayoitumia Gwajima kwenye Mambo ya KIKAISALI angeitumia KWA YESU uislam na upagani nchini ungebaki 1%

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Wakati wa Yesu kulikuwa na uonevu mkubwa wa kisiasa. Lakini Yesu alijikita kwenye misheni ya Ufalme wa MUNGU KITU Bora kuliko siasa za mpito.

Wakati wa Paulo kulikuwa na harakati nyingi sana za siasa Asia na ulaya. Tena uchawa kulikuwa umekithiri lakini alijikita katika misheni ya kumueleza Yesu na uwezo wake. Na Ufalme wa MUNGU.

Gwajima KWA kipawa na uwezo aliopewa naamini angejikita kwenye INJILI na mambo ya Ufalme wa MUNGU angebatiza Hadi watekaji. Nakumbuka mtumishi mmoja Scotland alihubiri Hadi bar zikakoswa wateja. Paulo alihubiri Hadi waganga wa kienyeji wa efeso na MIUNGU yao wakafirisika KWA kukosa wateja.

Ukiona watumishi wa Mungu wako bize ila aggregate ya matokeo yao inabaki vilevile. Au unafanya watu watafakari viongozi wa Siasa badala ya Mungu jua Kuna tatizo kubwa.

Naamini KWA ushawishi na vipaji alovyopewa Gwajima anagejikita kwenye INJILI angebatiza kabisa Hadi watekaji na wanaowatuma (kama wanatumwa). Kama mtekaji sugu Sauli wa Tarso alibatizwa naamini Gwajima angesitisha hii taaruki KWA kujikuta na ijili zaidi ya maelezo na press za kisiasa.

Tungeshuhudia anguko kubwa la waumini wa uislam na upagani nchini na Kristo angechukua usukani wa Taifa.

Ni hayo tu.

Mtumishi
Matunduizi
 
Hivi ndivyo mnavyojibu hoja? Hapo CCM wenye akili wote wamekaa pembeni, chama kimejaa machawa na vilaza.

Hizi siasa za kujibu mapigo kwa kukwepa hoja na kumuattack mtu binafsi zinahitaji uwe na akili na timing nzuri. Mtu juzi tu kawatia spana wewe leo unakuja kuongelea upagani hivi, uislamu that, kweli?
 
Kwani Gwajima ni Yesu?
Mtumishi wa Yesu, anatakiwa afocus na utumishi wa Yesu. Kama Yesu aliliokoa jambazi Baraba, naamini anaweza kutumia platform ya Yesu kuishughulikia na watekaji ili nyie wanasiasa muendelee kutumia platform ya siasa kuwatoa matamko.
Kila mmoja afanye nafasi yake.
 
Mimi ni mtumishi sio CCM.
 
Hiyo kanuni umetoa wapi?
 
Waafrika wengi ni wapumbavu ka wewe, nionyeshe kifungu kinacho sema gwajima ni mtumishi wa yesu.

Yesu mwenyewe ali sema baba iki kupendeza niepushe na kikombe hiki, why gwajima amtumikie mtu wa hivyo?
 
Hiyo kanuni umetoa wapi?
Kwenye maandiko, Yesu anaouwezo wa kuokoa majambazi, watekaji, hakuna anayeshindikana kwake. Hivyo mtumishi angeitumia platform ya Yesu angeleta matokeo makubwa sana. Mfalme Yehoshafat alipovamiwa na majambaji aliongoza nchi ya Yuda (waumini) katika maombi Mungu akawapigania nchi ikawa na utulivu miaka yote Hadi Yehoshafat alipokufa
 
Waafrika wengi ni wapumbavu ka wewe, nionyeshe kifungu kinacho sema gwajima ni mtumishi wa yesu.

Yesu mwenyewe ali sema baba iki kupendeza niepushe na kikombe hiki, why gwajima amtumikie mtu wa hivyo?
Alisema kikombe kimuehepuke sio yeye akihepuke.
 
Kwa hiyo ww kima kipaombelele chako ni kuangusha uislamu!? Na unaamini waislamu ndio watekaji? Ww ni mpuuzi mmoja , Umeandika ujinga wa kiwango cha SGR.
Tunapambana na ouvu sio dini mjinga mmoja ww
 
Kilaza, Kajifunze kuhusu Martin Luther King Jr, Janani Luwum na Desmond Tutu.
 
Hautaweza kutenganisha kati ya Ukristo na Siasa
Toka Mwanzo hadi Ufunuo, Ni utawala(siasa) imeongelewa, Na huyo , Yesu unayemsemea kwa nini hakuingia kwenye siasa ni kwa sababu Waisraeli walimkataa , Ila kwa kuzaliwa ni kizazi au ametokea katika familia ya kifalme(Yuda) . Na pili amefanya kazi kwa miaka 3 , ya kiroho jambo ambalo ili mhitaji amlete Roho mtakatifu aje amalizie , Ila sio kwamba hatokuja kuwa kiongozi, atakuja kuwa mfalme wa Jerusalem Mpya(Mji ulio Mbinguni)
 
Wakati wa Yesu kulikuwa na uonevu mkubwa wa kisiasa. Lakini Yesu alijikita kwenye misheni ya Ufalme wa MUNGU KITU Bora kuliko siasa za mpito.

Wakati wa Paulo kulikuwa na harakati nyingi sana za siasa Asia na ulaya. Tena uchawa kulikuwa umekithiri lakini alijikita katika misheni ya kumueleza Yesu na uwezo wake. Na Ufalme wa MUNGU.

Gwajima KWA kipawa na uwezo aliopewa naamini angejikita kwenye INJILI na mambo ya Ufalme wa MUNGU angebatiza Hadi watekaji. Nakumbuka mtumishi mmoja Scotland alihubiri Hadi bar zikakoswa wateja. Paulo alihubiri Hadi waganga wa kienyeji wa efeso na MIUNGU yao wakafirisika KWA kukosa wateja.

Ukiona watumishi wa Mungu wako bize ila aggregate ya matokeo yao inabaki vilevile. Au unafanya watu watafakari viongozi wa Siasa badala ya Mungu jua Kuna tatizo kubwa.

Naamini KWA ushawishi na vipaji alovyopewa Gwajima anagejikita kwenye INJILI angebatiza kabisa Hadi watekaji na wanaowatuma (kama wanatumwa). Kama mtekaji sugu Sauli wa Tarso alibatizwa naamini Gwajima angesitisha hii taaruki KWA kujikuta na ijili zaidi ya maelezo na press za kisiasa.

Tungeshuhudia anguko kubwa la waumini wa uislam na upagani nchini na Kristo angechukua usukani wa Taifa.

Ni hayo tu.

Mtumishi
Matunduizi
icho anachofanya ni cha Mungu pia, hujatekwa na haujawahi kuwa na ndugu kapotezwa ndio maana unaongea kama hivo. kuna watu wengi hawana wa kuwasemea, na Mungu katuma suati ya mtu iwasemee, hauoni kama hio ni kazi ya Mungu? usiwe kama taburarasa ndugu.
 
Back
Top Bottom