Samweli na Sauli ni ishu tofauti.
Sauli alikuwa ni kiongozi wa Kiroho pia ndio maana Alianza kupewa AGIZO LA kutoa KAFARA kabla Japo na lenyewe alilivuja baada ya kuona Samweli anachelewa.
Pia Sauli alipewa AGIZO na Mungu kupitia Samweli yeye akatekeleza nusu KWA sababu ya kupewa presha na watu aliokuwa nao KWA kutomuua agagi. Kumbuka agagi pia alikuwa Mfalme na kiongozi wa kiroho wa waamaleki. So ishu ile ilikuwa kiroho zaidi ya kisiasa.
Yote KWA Yote Gwajima ninayemkubali ni yule aliyesema Cheo chake cha utumishi wa Mungu ni kikubwa kuliko UBUNGE naamini hata urais. Hivi ndivyo maandiko yanafundisha. Ila alivyorudi kugombea UBUNGE ninaona alikosea, anatakiwa arudi kwenye ministry 100% kurudisha heshima ya utumishi wake. Hapo atakuwa na NGUVU kubwa hata ya kutumiwa na Mungu KATIKA mambo makubwa ya kiroho kulisaidia Taifa kuliko Sasa akiwa na kofia ya CCM na Utumishi