Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii HAWATOANDAMANA kwa mnavyowazuia kwa kila aina ya Vitosho na Maonyo yenu.

Na ili kuonyesha kuwa upande wa WALIOPANGA haya MAANDAMANO wamefanikiwa KIMALENGO kwa 99.9% subirini muone nini kitakoea kutoka kwa Mataifa Makubwa (hasa ya Ulaya na Marekani) ambako Kutwa tunatembeza Bakuli kwa Kuomba / Kuwaomba misaada.

Inahitaji AKILI KUBWA kujua kuwa WALIONDAA haya MAANDAMANO wamefanikiwa KIMALENGO na KIMKAKATI ila kwa WAPUMBAVU najua yasipofanyika WATAFURAHI na kujiona ni WASHINDI wakati kumbe ndiyo WAMEKOSEA na wanaenda kuitia DOA KUBWA Taifa la Tanzania ambalo huenda likaharibu hata mtiririko mzima wa Mafanikio kadhaa (hasa ya Kiuchumi) tuliyoanza kuyapata.
 
Mkuu,with all due respect,hata huko Marekani na Europe,waandamanaji waliokua wanapinga nchi zao kusapoti mauaji ya wanawake na watoto kule Gaza,walikua wanakamatwa na kupigwa,maandamano yao yalikua yanazuwiwa,
Sasa wanapataje ujasiri wa kuwakemea wengine kuhusu maandamano?

Kabla ya wazungu kulaumu,walitakiwa wawe mfano bora kwenye demekrasia huko kwao,
Before pointing fingers make sure your hands are clean,mikono yao imejaa damu ya wanawake na watoto kule Gaza.
 
Back
Top Bottom