Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
 

Attachments

  • Screenshot_20250301_155841_X.jpg
    Screenshot_20250301_155841_X.jpg
    238.3 KB · Views: 1
pitia game za utopwiX then uanzishe threads kama hizi
 
Kuna weledi na umakini unakosekana pale Azam. Nahisi wamewekana kindugu, kuna watu wasiojua mambo ya mpira wapo kwenye team ya production.
 
Kuna umakini unakosekana pale Azam. Nahisi wamewekana kindugu, kuna watu wasiojua mambo ya mpira wapo kwenye team ya production.
Cheki hii...ctoria badala ya victoria!
 

Attachments

  • Screenshot_20250301_172423_X.jpg
    Screenshot_20250301_172423_X.jpg
    254.3 KB · Views: 1
Anzisha Media yako usahihishe hayo makosa.

Ngozi nyeusi ni wazuri sana kukosoa vitu ambavyo humuwezi kuvifanya.
Unadhani hao ngozi nyeusi na Azam media Nani anamtegemea mwenzake zaidi?
Ligi imekuwepo hats kabla ya hiyo Azam so ni muhimu watu watoe kero zao.....
Media kubwa lakini haina umakini.
 
Watakosolewa hatupo kuramba watu matako kama unajihisi kuwashwa kwa kuwa wamekoselewa njia nyeupe wakakune!
Anzisha media yako acha shobo na madia za watu.

Makosa kidogo ya uandishi unaanzisha uzi, shobo dundo angalia utaolewa.

Punguza shobo na mali za watu. Utakuja inamishwa ukunwe uache kushobokashoboka.
 
Back
Top Bottom