Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Makosa kidogo tu ya kiuandishi wanaume mnaanzisha uzi.Unadhani hao ngozi nyeusi na Azam media Nani anamtegemea mwenzake zaidi?
Ligi imekuwepo hats kabla ya hiyo Azam so ni muhimu watu watoe kero zao.....
Media kubwa lakini haina umakini.
Mtabaki kumtegemea Azam kwasababu ndio aliyeleta mapinduzi kwenye soka la kibongo.