Kuna Uhusiano gani kati ya rasilimali za nchi na ucheleweshaji wa mizigo bandarini?, Kuna Uhusiano gani kati ya nchi kuwa na chakula Cha kutosha au kutokuwepo na terrorists na utendaji kazi wa bandari?. Unachoonyesha ni wivu kwasababu ninyi hamna chakula Cha kutosha na pia hamna amani mnauliwa hovyo na Alshabaab.
Sasa kwa kukujulisha tu ni kwamba, hayo yote uliyoyataja, yaani upatikanaji wa chakula, amani na utulivu, vyote hivyo havijashuka duniani, tumevitengeneza sisi wenyewe, ninyi mumeshindwa hata kulinda mipaka yenu, Alshabaab wanaingia na kufanya wapendavyo, hovyo sana ninyi.
Ardhi yote yenye rutuba mumewapa matajiri na wageni hawaifanyii lolote, Sasa mtawezaji kupambana na njaa, au mtajuaje Kama Kuna madini wakati watu hawaruhusiwi kwenda kugusa hiyo ardhi?. Sasa mnaona hasara ya Ubepari?. Mtaendelea kuumia Sana, punguzeni wivu.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app