Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 301
- 265
Kuna Uhusiano gani kati ya rasilimali za nchi na ucheleweshaji wa mizigo bandarini?, Kuna Uhusiano gani kati ya nchi kuwa na chakula Cha kutosha au kutokuwepo na terrorists na utendaji kazi wa bandari?. Unachoonyesha ni wivu kwasababu ninyi hamna chakula Cha kutosha na pia hamna amani mnauliwa hovyo na Alshabaab.
kwa ufupi,hii ni aibu kwa taifa kubwa kama tanzania, nchi yenye rasilimali chungu nzima, raiaa wanyonge ambao unaweza kuwa dhulumu utakavyo, nchi ambayo haijui njaa wala uchungu wa risasi za magaida.
ufahamu wako ni wa kiwango cha chini, kwa ufupi nakueleza ya kwamba nchi yako haifai kujiaibisha hivi na "faiiled country" kama yangu ya kenya. sisi ndio tunafaa kuja kupokea mzigo huko dar, inamaanisha ya kwamba mmezembea sana kama mnashindwa na operations za bandari na nchi ndogo kama yangu yenye matatizo chungu nzima ulizozitaja.Kuna Uhusiano gani kati ya rasilimali za nchi na ucheleweshaji wa mizigo bandarini?, Kuna Uhusiano gani kati ya nchi kuwa na chakula Cha kutosha au kutokuwepo na terrorists na utendaji kazi wa bandari?. Unachoonyesha ni wivu kwasababu ninyi hamna chakula Cha kutosha na pia hamna amani mnauliwa hovyo na Alshabaab.
Sasa kwa kukujulisha tu ni kwamba, hayo yote uliyoyataja, yaani upatikanaji wa chakula, amani na utulivu, vyote hivyo havijashuka duniani, tumevitengeneza sisi wenyewe, ninyi mumeshindwa hata kulinda mipaka yenu, Alshabaab wanaingia na kufanya wapendavyo, hovyo sana ninyi.
Ardhi yote yenye rutuba mumewapa matajiri na wageni hawaifanyii lolote, Sasa mtawezaji kupambana na njaa, au mtajuaje Kama Kuna madini wakati watu hawaruhusiwi kwenda kugusa hiyo ardhi?. Sasa mnaona hasara ya Ubepari?. Mtaendelea kuumia Sana, punguzeni wivu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ni wivu ndio unaokusumbua sio vinginevyo,ufahamu wako ni wa kiwango cha chini, kwa ufupi nakueleza ya kwamba nchi yako haifai kujiaibisha hivi na "faiiled country" kama yangu ya kenya. sisi ndio tunafaa kuja kupokea mzigo huko dar, inamaanisha ya kwamba mmezembea sana kama mnashindwa na operations za bandari na nchi ndogo kama yangu yenye matatizo chungu nzima ulizozitaja.
mbona tuwaonee wivu majirani zetu? kile nilichofanya ni kuhighlight zile vitu bora mnazozifanya kutuliko, lakini pia huja jadili hoja mkuu? umeamua kuwa defensive sana. ama ndiyo maana imebidi mmewauzia waarabu bandari yenu ilimuweze kuwa competitive?
Usipote muda wako kubishana na Machoko wa kiberaKuna Uhusiano gani kati ya rasilimali za nchi na ucheleweshaji wa mizigo bandarini?, Kuna Uhusiano gani kati ya nchi kuwa na chakula Cha kutosha au kutokuwepo na terrorists na utendaji kazi wa bandari?. Unachoonyesha ni wivu kwasababu ninyi hamna chakula Cha kutosha na pia hamna amani mnauliwa hovyo na Alshabaab.