Hii ni aibu kwa waandaaji sherehe za maazimisho miaka 58 Mapinduzi Zanzibar

Hii ni aibu kwa waandaaji sherehe za maazimisho miaka 58 Mapinduzi Zanzibar

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa.

Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
 
Dah, huku Tabora umeme umekatwa maeneo ya Ipuli hivo hatuoni chochote.
 
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa mh. Jakaya kikwete, karume na waziri mkuu majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa,

wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
Kwa hiyo unataka raia wa kawaida tu ndiyo wapigwe jua .... hayo ndiyo maendeleo waliyoyaleta wenyewe!!
 
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa mh. Jakaya kikwete, karume na waziri mkuu majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa,

wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
Nenda kaweke wewe basi hivyo vizuizi vya jua
 
Kwani wao wana ngozi za barafu kwamba zitayeyuka,mboa sisi makamanda hapa uwanjani tumeanikwa tunapigwa jua...
 
Back
Top Bottom