Hii ni aibu kwa waandaaji sherehe za maazimisho miaka 58 Mapinduzi Zanzibar

Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa.

Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
Kumbe jua la huko huchagua nani wa kumpiga!
Nani ameruhusu sherehe ziazimishwe badala ya kukodishwa?
 
Wacha wakome,tunavyosema jua linakuwa kali kwasababu ya hao viongozi wa ccm fisadi waelewe ukali wake.
 
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa.

Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
Huo ndo uamiri jesho Sasa
 
Back
Top Bottom