Hii ni aibu kwa waandaaji sherehe za maazimisho miaka 58 Mapinduzi Zanzibar

Hii ni aibu kwa waandaaji sherehe za maazimisho miaka 58 Mapinduzi Zanzibar

Hapo sasa yaani watanzania kwa sasa wamejishusha thamani kisa siasa
Imagine. Kwa hali ilivyo, sijui wanapata wapi furaha ya kuhudhuria hizi sherehe. Kama Wananchi wangezigomea, wangepeleka massege kwa Watawala.
 
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa mh. Jakaya kikwete, karume na waziri mkuu majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa.

Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.

Mkuu umeanza kusujudia binadamu? Wasipigwe na wanajua kwani wao sio binadamu? Hao binadamu wengine wanaopigiwa na jua wao ni haki yao?
 
Afadhali wao ni jua la kawaida ila kwa wadanganyika wenzangu tumepigwa jua la mifukoni na hatujui kesho yetu itakuwaje??
 
Uzuri jua ya Zanzibar sio kali kama jua ya hapo magogoni, ngoja kitu iwatandike
 
Mkuu umeanza kusujudia binadamu? Wasipigwe na wanajua kwani wao sio binadamu? Hao binadamu wengine wanaopigiwa na jua wao ni haki yao?
Mleta mada ni kati ya watu waliokata tamaa ya kuishi.

Unaanzaje kumtukuza mwenzako kisa itikadi?

Watu kama hawa ndiyo wanaifanya ccm izidi kuwatesa wananchi.
 
Afadhali wao ni jua la kawaida ila kwa wadanganyika wenzangu tumepigwa jua la mifukoni na hatujui kesho yetu itakuwaje??
Ccm hoyeeeeeeeeeeeee
JamiiForums-1136335492_341x566.jpg
 
Siyo Tabora tu mkuu, hata huku kwetu mji mzima hauna umeme! Tumekuwa Taifa la kipumbavu sana tangu JPM atutoke!
Inasikitisha. Watu tunafuatilia sherehe kwenye TV halafu umeme unakatwa.
 
Mleta mada una mzaha Tena hao walitakiwa wawekwe katikati ya uwanja.maana waliotoka hapo wanaingia kwenye V8
 
Hebu tulia wewe na wao vipara vichomwe na jua japo kwa masaa machache wapate expirience ingawa hawataifanyia kazi.
 
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa.

Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
Ha ha ha
Walienda kwa nini?
 
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana kabisa.

Wazee wanapigwa jua hadi unawaonea huruma.
Kwani wao hawataki Vitamin
 
Back
Top Bottom