Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM.
Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu.
Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni aina gani ya watanzania wanaoiunga mkono CCM, Leo nimeuthibitisha utafiti wao kuwa ulikuwa ni wa kweli.
Hivi kama mtu una akili timamu unawezaje kuwa kwenye chama usichojua ni kwa nini kinaitwa Chama Cha Mapinduzi?