Hii ni ajabu ya Dunia. Wana CCM wenyewe hawajui ni kwa nini chama chao kinaitwa Chama cha Mapinduzi!

Hii ni ajabu ya Dunia. Wana CCM wenyewe hawajui ni kwa nini chama chao kinaitwa Chama cha Mapinduzi!

Ndio hata TANU ASP hadi CCM. Ni Vyama vya mlengo kushoto Ukomonisti na ujamaa hawa wanaakini kwenye Mabadiliko, au mapinduzi . Change, Revolutionary Equality Usawa
Siyo kweli kuwa CCM inaamini kwenye ukomunisti Wala ujamaa. Na siyo kweli kuwa wao kuitwa Mapinduzi ni kutokana na sababu za kiitikadi.

ASP kilikuwa chama Cha kiharakati dhidi ya waarabu bila ya kuwa na Itikadi ya kijamaa wala kikomunisti.
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu,pigo lililonyooka ,pigo takatifu.
 
Kinaitwa revolution party kwa sababu mapinduzi ndio kauli mbiu ya chama na chochote kinachofanyika ndani chama tayari kina baraka hata kama ni uzwa uzwa ,uchawa,good leader bad one .
 
Back
Top Bottom