Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Vitu vingine havina hata MashikoLeo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM.
Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu.
Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni aina gani ya watanzania wanaoiunga mkono CCM, Leo nimeuthibitisha utafiti wao kuwa ulikuwa ni wa kweli.
Hivi kama mtu una akili timamu unawezaje kuwa kwenye chama usichojua ni kwa nini kinaitwa Chama Cha Mapinduzi?
Na hao ndiyo hupewa vyeo kutokana na hayo mambo Yao ya kutokuwa na aibu kwenye kusema mambo ya aibu!!Kama wanachama wenyewe ndiyo kama huyu hapa chini, hawawezi kujua lolote la maana...
View: https://youtu.be/22VT0fS4P6Q?si=TUD97u2H6pr8kLO5
Naweza... Ila siyo mada ya hili bandiko.Vitu vingine havina hata Mashiko
Wewe unaweza Kutuambia Maana ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Usichoelewa hapo nini? Wewe unajua ni kwa nini CCM inatwa chama Cha mapinduzi?Wafuasi wa lissu wakishashiba viazi wanakuja kuandika nyuzi zisizoeleweka🚮🚮
Muungano wa vyama 2 TANU na ASP ikatoa CCM mwaka ulekwa nini kinaitwa Chama Cha Mapinduzi
Baada ya TANU kuungana na ASP ndo kikazaliwa chama cha mapinduzi hiyo ni sababu mojawapo sina muda wa kuanza kubishana na wafuasi wa lissuUsichoelewa hapo nini? Wewe unajua ni kwa nini CCM inatwa chama Cha mapinduzi?
Sawa kabisa... Lakini TANU na ASP haitoi jina mapinduzi!Muungano wa vyama 2 TANU na ASP ikatoa CCM mwaka ule
Unavyojibu utadhani nilikualika kujibu😄😀😃😆Baada ya TANU kuungana na ASP ndo kikazaliwa chama cha mapinduzi hiyo ni sababu mojawapo sina muda wa kuanza kubishana na wafuasi wa lissu
Hao hata huo ujamaa waliudandia tu wala hawakuwa wanajua ni nini ndio maana uliwashinda.Kama wanachama wenyewe ndiyo kama huyu hapa chini, hawawezi kujua lolote la maana...
View: https://youtu.be/22VT0fS4P6Q?si=TUD97u2H6pr8kLO5
Kwa mambo hayo ya hovyo hovyo CCM ni mafundi wabobevu.Hao hata huo ujamaa waliudandia tu wala wahawakuwa wanajua ni nini ndio maana uliwashinda.
Sasa hivi hata hawajui wanasimamia nini zaidi ya mipasho wizi rushwa na kuiba chaguzi ili wabaki madarakani kwa nguvu bila ridhaa ya wananchi.
Si unaona kila mtu hajui sababuUnavyojibu utadhani nilikualika kujibu😄😀😃😆
Dhana ya mapinduzi ni dhana iliyopo sana katika falsafa za kikomunisti kutoka kwa Georg Wilhelm Friedrich Hegel.Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM.
Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu.
Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni aina gani ya watanzania wanaoiunga mkono CCM, Leo nimeuthibitisha utafiti wao kuwa ulikuwa ni wa kweli.
Hivi kama mtu una akili timamu unawezaje kuwa kwenye chama usichojua ni kwa nini kinaitwa Chama Cha Mapinduzi?
Kwa hiyo ACT wakiungana na CHAUMA chama kitakachozaliwa kitakuwa cha MAPINDUZI?Baada ya TANU kuungana na ASP ndo kikazaliwa chama cha mapinduzi hiyo ni sababu mojawapo sina muda wa kuanza kubishana na wafuasi wa lissu
Nimesema ni sababu mojawapo kiazi kitamu weweKwa hiyo ACT wakiungana na CHAUMA chama kitakachozaliwa kitakuwa cha Mapinduzi?
Nadharia yako nzuri na Bora Sana... Lakini haihusiani na CCM kuitwa chama Cha Mapinduzi. Nina HAKIKA na hilo kwa asilimia mia.Dhana ya mapinduzi ni dhana ikiyopo sana katika falsafa za kikomunisti kutoka kwa Georg Wilhelm Friedrich Hegel.
Zamani miaka ya kati ya 1980s nilikuwa naangalia sana Televisheni ya Zanzibar. TV zilivyoanza kuingia Tanzania bara kwa wingi, TVZ ndiyo ilikuwa televisheni pekee, kabla ya CTN, DTV na ITV.
Kuna kitu kimoja nilikuwa sielewi. Kila TV ikifungwa usiku (ilikuwa inafungwa), kulikuwa na maandishi "Mapinduzi Daima".
Mimi nikawa nafikiri wanamaanisha Mapinduzi ya mwaka 1964. Nikajiuliza, hawa watu wanataka kupinduana na kuuana daima?
Baadaye, nilivyokuja kusoma falsafa za Hegel, nikakutana na kitu kinaitwa Hegelian dialectic. Thesis -> Antithesis -> Synthesis.
Unaanza na hoja. Wanakuja watu kuikosoa hoja. Baada ya kuikisoa hoja unajenga hoja bira zaidi.
Na hiyo hoja bira zaidi inakosolewa, na unatengeneza hoja ambayo imedidisha ubora.
Katika mfumo huo, unafanya "Mapinduzi Daima". Kwa sababu, ukizembea dunia itakupita. Ukikubali kuwa mfumo wako wa kutumiana barua kwa pista ni mfumo bora kabisa, hauhitaji mapinduzi, utashindwa kujiongeza na kuvumbua email.
Kwa hivyo, vyama vya kikomunisti na kisoshalisti vina hiyo dhana ya Hegelian dialecyic ya Mapinduzi Daima.
Ndiyo maana hata CCM kinaitwa chama cha Mapinduzi.
It's Hegelian dialectic, at least in theory.
Sababu nyingine ni ipi? Unashabikia chama ambacho wala hujui ni kwa nini kinaitwa kinavyoitwa?Nimesema ni sababu mojawapo kiazi kitamu wewe
Umemalizia vizuri, imepoteza hadi reply yangu niliyokuwa niiweke. Lakini bado ni vigumu pia kuthibitisha kama wenyewe walikuwa katika hilo wazo la Hegelian dialectic hata katika nadharia tu.Dhana ya mapinduzi ni dhana ikiyopo sana katika falsafa za kikomunisti kutoka kwa Georg Wilhelm Friedrich Hegel.