Hii ni Albam bora zaidi ya Koffi Olomide

Hii ni Albam bora zaidi ya Koffi Olomide

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
๐Š๐Ž๐…๐…๐ˆ ๐Ž๐‹๐Ž๐Œ๐ˆ๐ƒ๐„ ๐•๐Ÿ๐Ÿ ๐€๐‹๐๐”๐Œ

Ni albam ya 13 ya Koffi Olomide. Iliachiwa mapema mwaka 1995. Kwa mujibu wa Tutu Roba, mdogo wake Koffi hii ndo albamu bora zaidi ikifuatiwa na Efrakatta. Kipaji kilitumika haswa. Hii album ilinikuta tayari niko shule ya msingi. Nadhani mwaka 1995 albam nyingi kali za kikongo ziliachiwa.


๐“๐‘๐€๐‚๐Š๐‹๐ˆ๐’๐“

1 Andrada 7:44
2 Parking Ya Ba Baba 6:00
3 Chantou 5:57
4 Fouta Djallon 6:57
5 Etat Civil 6:54
6 Dossier Du Jour 7:25
7 Aspirine 5:52
8 Nouveau Testament 6:01
9 Bambino 7:59
10 Miss Toutsi 6:27
11 Zokere

๐‚๐‘๐„๐ƒ๐ˆ๐“๐’

๐€๐ซ๐ซ๐š๐ง๐ ๐ž๐ ๐๐ฒ โ€“ Hilaire M. Kashal (tracks: 1, 5), Koffi Olomide (tracks: 1 to 11), Philippe Guez (tracks: 2 to 4, 6 to 11)
๐๐š๐œ๐ค๐ข๐ง๐  ๐•๐จ๐œ๐š๐ฅ๐ฌ โ€“ Serge Babi, Eric Ezenge, Leopold Balongana, Nyboma Danos Mwan'Dido, Oliver Luzubu
๐๐š๐ฌ๐ฌ ๐†๐ฎ๐ข๐ญ๐š๐ซ โ€“ Zangilu Makiadi Beniko, Miantezolo Ngunda Rocky-B.
๐‚๐จ๐ฆ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ž๐ ๐๐ฒ โ€“ Koffi Olomide
๐„๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž๐ž๐ซ โ€“ Hervรฉ Marignac, Hugo Tonal, Jean Matthieu Poitevin, Koffi Olomide, Pascal Colomb, Stรฉphane May
๐„๐ฑ๐ž๐œ๐ฎ๐ญ๐ข๐ฏ๐ž-๐๐ซ๐จ๐๐ฎ๐œ๐ž๐ซ โ€“ Hervรฉ Marignac
๐„๐ฑ๐ž๐œ๐ฎ๐ญ๐ข๐ฏ๐ž-๐๐ซ๐จ๐๐ฎ๐œ๐ž๐ซ [๐ƒ๐ข๐ซ๐ž๐œ๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐€๐ซ๐ญ๐ข๐ฌ๐ญ๐ข๐ช๐ฎ๐ž] โ€“ Koffi Olomide
๐†๐ฎ๐ข๐ญ๐š๐ซ โ€“ Zangilu Beniko "Zero Faute", Dimbedi Felly-Tyson Mumba D., Kabuya Mpoyi Jacques Lisaloko
๐‹๐ž๐š๐ ๐•๐จ๐œ๐š๐ฅ๐ฌ โ€“ Koffi Olomide
๐Œ๐š๐ฌ๐ญ๐ž๐ซ๐ž๐ ๐๐ฒ โ€“ Yves Delaunay
๐๐ก๐จ๐ญ๐จ๐ ๐ซ๐š๐ฉ๐ก๐ฒ ๐๐ฒ โ€“ Pierre Renรฉ-Worms
๐๐ข๐š๐ง๐จ โ€“ Philippe Guez
๐๐ซ๐จ๐๐ฎ๐œ๐ž๐ซ โ€“ Koffi Olomide
๐‘๐ก๐ฒ๐ญ๐ก๐ฆ ๐†๐ฎ๐ข๐ญ๐š๐ซ โ€“ Koffi Olomide (tracks: 1)
๐’๐ก๐š๐ค๐ž๐ซ โ€“ Nyenge L. Beevans Rappa Son
๐’๐ง๐š๐ซ๐ž [๐‚๐š๐ข๐ฌ๐ฌ๐ž ๐‚๐ฅ๐š๐ข๐ซ๐ž] โ€“ Djou-Djou Music
๐•๐จ๐œ๐š๐ฅ๐ฌ [๐€๐ง๐ข๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง๐ฌ] โ€“ Nyenge L. Beevans Rappa Son, Koffi Olomide

FB_IMG_1725431591081.jpg
 
V12. Album yangu bora piano kutoka kwa koffi. Uliwahi jua kwa nini Aliita V12? โ€” yadaiwa aliifananisha ubora wake na
1000000435.jpg
gari aina ya Mercedes Benz V12.
 
Alikuwa na waimbaji waziristan sana wakati huon kwenye Quartier Latin. Mfano kina Suzuki, Madogo, Sam. Ukisiliza Ultimatum, Loi na hii v12, utaelewa.
 
Yaan saiz nko wik ya pili sas kucklza na kutazm wimbo wa Monde arabe asee song nnalielew mpak kwikwi
 
Wimbo wa sisi sylvie kamshirikisha feree gola ilikuwa kwenye album gani
 
Koffi ndie msanii pekee asiyechuja kwa zaidi ya miaka 30 kwa muziki wa Afrika. Kwa wazee wa kale wanamkubali, kwa vijana wa sasa bado anakiwasha.

Kwangu ndiye msanii bora wa mziki muda wote kwa Afrika.
 
Koffi ndie msanii pekee asiyechuja kwa zaidi ya miaka 30 kwa muziki wa Afrika. Kwa wazee wa kali wanamkubali, kwa vijana wa sasa bado anakiwasha.
ni sahihi kabisa 100 %
jamaa kapitia mawimbi mengi sana lakn kawa imara muda wote
kuna wkt alikimbiwa na wanamuziki wake wengi sana kiasi ungefikiri asingeinuka tena lakn wapi chuma kipo imara hadi kesho
 
ni sahihi kabisa 100 %
jamaa kapitia mawimbi mengi sana lakn kawa imara muda wote
kuna wkt alikimbiwa na wanamuziki wake wengi sana kiasi ungefikiri asingeinuka tena lakn wapi chuma kipo imara hadi kesho
Kwangu ndie msanii bora Afrika muda wote.
 
Back
Top Bottom