Hii ni Brazil tusiyoonyeshwa mtandaoni

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Nakumbuka miaka ya nyuma mitaa ilikuwa imejaa ombaomba wakiwa wanalala hovyo
Watalii wakawa hawana amani kwa kuporwa na vibaka kila kukicha
Serikali ilaamua kuwamaliza kwa kwa shaba
Ilitwa Candelaria massacre
Watoto 6000 waliuwawa tena ili kujua wameuwawa na serikali walikuwa wanapigwa risasi za kutosha kama alama kichwani

Wabaya sana hawa watu
Unauwa watu wako kisa utalii

Haya sasa Bus linageuka hovyo kwanini wasibuni matairi kuzungushiwa minyororo kama za wazungu kwenye barafu?

Brazil serikali ina hela ila wananchi wako hoi wengi wao
 
Urojo wa Kizimkazi, hilo jina lina-click na umbumbumbu wako. Yaani hata nchi tajiri duniani hauna clue nazo kabisa?
Anyway aliyekuhangaikia uende shule alipoteza energy/resources bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…