MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #81
Kiranga unaandika sana pumba kwenye huu uzi. Kama GDP sio kipimo basi hata DRC ambayo ni nchi kubwa ingekuwa na GDP kubwa.GDP haikuelezi lolote kuhusu inequality, income distribution, geographical distribution of the population, priorities za nchi, siasa zake.
Brazil ina sehemu kubwa sana ziko kwenye mapori ya Amazon huko hakuna watu wengi, unategemea ijenge barabara zote kwa sababu ya GDP tu? Hiyo barabara unajua hata ni wapi?