Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
GDP per Capita ya $10,234 unaiona nyingi ukiwa Tanzania ambako bado unacheza na $1,200.Hata kwenye sekita nyingine bado Brazil wako mbali mno kuanzia Viwanda ,kilimo, teknolojia,hata uchumi wa mtu mmoja mmoja Brazil wamepiga hatua kwa namna fulani.
Yaani nchi ina GDP per capata ya 10,234$ alafu useme eti ni masikini?
Zaidi, GDP per capita ni average, haikuoneshi inequality.
Zaidi, Brazil ni nchi kubwa. Ni nchi ya tano kwa ukubwa duniani. Unategemea ijenge barabara nchi nzima bila hata kujua population distribution ikoje na uchumi uko wapi?
Unajenga argument kwa picha bila statistics?