GDP per Capita ya $10,234 unaiona nyingi ukiwa Tanzania ambako bado unacheza na $1,200.Hata kwenye sekita nyingine bado Brazil wako mbali mno kuanzia Viwanda ,kilimo, teknolojia,hata uchumi wa mtu mmoja mmoja Brazil wamepiga hatua kwa namna fulani.
Yaani nchi ina GDP per capata ya 10,234$ alafu useme eti ni masikini?
Mm nadhani hilo swari uwaulize wale wanao sema eti Brazil ni masikini kisa kutojenga barabara nzuri kila sehemu ya nchi.GDP haikuelezi lolote kuhusu inequality, income distribution, geographical distribution of the population, priorities za nchi, siasa zake.
Brazil ina sehemu kubwa sana ziko kwenye mapori ya Amazon huko hakuna watu wengi, unategemea ijenge barabara zote kwa sababu ya GDP tu? Hiyo barabara unajua hata ni wapi?
Halafu, hoja haijengwi kwa picha ya kuchagua hivi.Mm nadhani hilo swari uwaulize wale wanao sema eti Brazil ni masikini kisa kutojenga barabara nzuri kila sehemu ya nchi.
Mkuu hivi unasoma maelezo yangu vizuri? Ni wapi ambapo nimesema kuwa ni razima ijenge barabara kila sehemu?GDP per Capita ya $10,234 unaiona nyingi ukiwa Tanzania ambako bado unacheza na $1,200.
Zaidi, GDP per capita ni average, haikuoneshi inequality.
Zaidi, Brazil ni nchi kubwa. Ni nchi ya tano kwa ukubwa duniani. Unategemea ijenge barabara nchi nzima bila hata kujua population distribution ikoje na uchumi uko wapi?
Hivi ww jamaa una soma maelezo yangu vizuri kweli?Halafu, hoja haijengwi kwa picha ya kuchagua hivi.
Ukitaka picha za hivi kila nchi zipo.
Argument inajengwa kwa data, statistics zenye mashiko, zenye ku represent vizur hoja..
Brazil ni ya Saba kwa utajili dunianiBrazil wakifika top 20 utakuwa na uhalali wa kuwasifia.
Kwani wapi nimesema umesema "ni razima" ? (by the way, andika lazima, si razima).Mkuu hivi unasoma maelezo yangu vizuri? Ni wapi ambapo nimesema kuwa ni razima ijenge barabara kila sehemu?
Mm hoja yangu ipo kwa hawa wanao sema eti Brazil haina tofauti na Africa.
Hakuna sehemu niliyoongelea hoja yako hata pamoja, mimi hata sikujui, ninafanya hoja ya kidhahania.Hivi ww jamaa una soma maelezo yangu vizuri kweli?
Mbona unanilisha maneno?
Brazil ni nchi tajili. Ni ya Saba duniani kwa utajili.Brazil ni nchi masikini
Nchi tajiri unazijua kweli?? Brazil ina uchumi mkubwa ila sio nchi tajiri nyie UWT wazembe sana mfano Tanzania ipo top10 ya nchi zenye uchumi mkubwa Africa ila ni nchi maskiniBrazil ipo top 100 ya nchi tajiri duniani. Ni member muhimu wa BRICS
Kwa kipimo gani?Brazil ni nchi tajili. Ni ya Saba duniani kwa utajili.
Kama ni Tajili anaweza pia kuwa no 1 ila siyo kwa utajiriBrazil ni nchi tajili. Ni ya Saba duniani kwa utajili.
Brazil ni nchi tajili. Nia Saba kwa utajili dunianiMijitu ya ccm haijawahi kuwa Na akili. Baba jitu zima anajiita MamaSamia2025 unategemea nini?
Hawa wanadhani nchi zote nje ya Africa ni matajiri
Uongo, America ya kusini ni middle income countriesNchi nyingi za Latin America wana maisha magumu kama Africa tu.
Matatizo yako dunia nzima, kuna mama ni financial adviser kutoka Australia alikuwa na propasal ya kusaidia nchi ya Tanzania alipopeleka ombi lake aliulizwa swali moja mbona Matatizo haya bado hapa nchini tunayo kwanini uende kusaidia huko ambako awataweza kusaidia nchi hiiBrazil ipo top 100 ya nchi tajiri duniani. Ni member muhimu wa BRICS
GDP ya Latin America countrieUongo, America ya kusini ni middle income countries
Duh!Ndege wanapanda wanawake, wanaume wanapanda popo
Kwa mngese kama wewe ni sawa kusema hivyo.Jina lako linasadifu ubongo wako ulivyo mweupeee!.