Hii ni Brazil tusiyoonyeshwa mtandaoni

Kiranga unaandika sana pumba kwenye huu uzi. Kama GDP sio kipimo basi hata DRC ambayo ni nchi kubwa ingekuwa na GDP kubwa.
 
Kiranga unaandika sana pumba kwenye huu uzi. Kama GDP sio kipimo basi hata DRC ambayo ni nchi kubwa ingekuwa na GDP kubwa.
That is a logical non sequitur fallacy.

Pia sijasema nchi kubwa inasababisha GDP kubwa. Wewe, kama Watanzania wengi, hujui kusoma kwa ufahamu.

Nimeweka.maandishi ya Joseph Stiglitz, mchumi aliyeshinda nishani ya Nobel, akifafanua hoja ya GDP.

Nimeweka mpaka video.

Naona huna nia ya kujifunza.
 
Uchumi wa Brazil unakaribiana na ule wa south korea sasa utaitaje masikini.
On paper wapo sawa ila South Korea wapo juu zaidi ya Brazil na pia idadi ya watu wapo tofauti na ukichukua idadi ya wanaopata tabu au wasio na ajira Brasil ni wengi kuliko South Korea.
 
Brazil siomasikini kihivyo na wala sio tajiri kihivyo ila brazil ni kubwa mnoo. Nadhani kwa uchumi wao na ukbwa wao ndio changamoto. Unaweza ichukua Argentina ukajumlisha na congo ukajumlisha na india na bado brazil ikawa kubwa..
 
Angalia na population ya hizo nchi. Costa Rica in raia 5 million na GDP 95 billion, utasemaje ni maskini. Usiangalie hizo GDP tu angalia na population
 
Unaenda wapi?
Naenda saopaul brazil
Naenda dar es salam tanzania
Naenda nairobi kenya
Naenda adisababa ethiopia
Naenda london wingereza
Naenda paris ufaransa
Nanda madrid spain
Naenda kampala uganda
 
Angalia na population ya hizo nchi. Costa Rica in raia 5 million na GDP 95 billion, utasemaje ni maskini. Usiangalie hizo GDP tu angalia na population
Endelea kubishana na takwimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…