ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.