Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

Ndio nimemaliza kupiga hii kitu hapa home...😋
 
Attachments

  • 20231118_214536.jpg
    20231118_214536.jpg
    1.5 MB · Views: 2
Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.

Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.

Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.

View attachment 2957294
Kula ukajambe ofisini mtu wangu
 
maharage ya nazi saba ndo haya sasa
 
Back
Top Bottom