ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Piga ya kwako na wewe tukushauri utafute helaMbona mazingira machafu?tafuta hela mzee
Mbona mazingira machafu?tafuta hela mzee
Acha Hizo mkuu wapi hukoUmepigwa, hivyo vyote ni 700/=
ili mtujambie maofisiniMaharage ni chakula muhimu sana asubuhi.
Yeah na hapo ni kwa officeBila shaka wewe ni mtumishi wa serikali.
Nimeipenda hiiBila shaka wewe ni mtumishi wa serikali.
Hapo ni wanga and fiber plus mafuta kwenye hio supu/mtori no proteinNi ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.
View attachment 2957294
Kwani maharage hupaswa kuchemshwa na nini mkuu?maharage yamechemshwa na maji,aise!! mnakula mavitu ya ajabu.
Safi simple lifeAcha Hizo mkuu wapi huko
Juice 500
Maharage 500
Mihogo 500